Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

Tunakutegemea utupatie full information bila kusahau picha.
 
Mkutano una hamasa kubwa sana watu wameanza kumiminika kwa wingi sana.
 
Jama nami natokea maeneo ya hombolo nielekezen vilipo viwanja vya barafu
 
Mi nasubiria msosi home then nidondoke pande hizo. But mambo yakianza 2peane taarifa niahirishe
 
Jama nami natokea maeneo ya hombolo nielekezen vilipo viwanja vya barafu

Wadau wamenielekeza kua,ukifika dodoma mjini ulizia uwanja wa jamuhuri,au shule ya sekondari ya jamuhuri hapo utakuwa umefika viwanja vya barafu.
 
Unajua najiuliza jinsi gani nilivyokua na shauku toka jana naona muda hauendi, hivi wale wanaoendaga kwenye mikutano ya magamba wanakuaga na shauku na moyo kudhamiria kuhudhuria?
 
mambo yakianza tutawajulisha kinachoendelea kwa kila sekunde.
 
Freedom is coming-- not tomorrow-- but today,. tunasubiri kusikia. All the best kwa mlioko huko.
 
Sasa ni DOM city a capital of Tanganyika! also knows as Nyika city
 
Makamanda huwa 2liopo arusha 2nawapa kila ki2 mpaka niuyork! Na nyie wa 'makao makuu 2peni yote ya leo kuhusu peopleeez.
 
mbona kimya wakuu na sasa ni saa tisa kasoro dakika 22, mkutano haujaanza tu????
 
Thread hii iunganishwe na thread ya Diki ili mambo yawe MSWANO!
 
Back
Top Bottom