wote yeye na mama yake walikuwa wakila na kwenda choo,what is so special to him?Yesu hakuwa mtu wa kawaida wala si vyema kufananishwa na chochote chini ya jua.
The world is going mad now!
Hoja za namna hii usiwe unawajibu just zipite wanasabu zao hasa hupenda kubishana na huwa hawako tayari kuujua ukweli na hata wakiujua huwa hawaukubali.Yesu hakuwa mtu wa kawaida wala si vyema kufananishwa na chochote chini ya jua.
Hoja za namna hii usiwe unawajibu just zipite wanasabu zao hasa hupenda kubishana na huwa hawako tayari kuujua ukweli na hata wakiujua huwa hawaukubali.
mbombo ngafu.
Ufe halafu ufufuke? Hata huyo yesu ni changa la macho tu.
Ufe halafu ufufuke? Hata huyo yesu ni changa la macho tu.
Hahahah...labda ndio rangi ya misukule...
Unasemaje? Hebu rudia tena!!!Ufe halafu ufufuke? Hata huyo yesu ni changa la macho tu.
Absolutely right. Ni mtu lakini si wa kawaida, haina ubishi hii, BinMgen umepotoka kidoogo.Yesu hakuwa mtu wa kawaida wala si vyema kufananishwa na chochote chini ya jua.
The world is going mad now!
wote yeye na mama yake walikuwa wakila na kwenda choo,what is so special to him?