unaitishia kujamba wakati unaharisha kijana sema habari za ukweli jamaa kakamwata na kesi ya rushwa na kahojiwa na takukuru but nothing new yet kuwa mpole na acheni tabia za kudanganya watu
Mkuu tuna uhakika wa majimbo 150 mpaka sasa
Hahahahahahahaha
Wamemkataaa aseeee
Duuu hatariiiiiJerry Slaa aliyekuwa anagombea ubunge jimbo la ukonga ktk matokeo ya kura za maoni jimboni ukonga ameshindwa ktk kula za maoni ukonga kwa kura zaidi ya 4,000 na mpinzania wake mwenye asili ya kiasia aliyepata kura 5139 na jerry kupata 1034
viva Dr Mwakyembe.
Erythrocyte , Ndalama niliwaambia mwakyembe akishindwa ntatembea uchi kutoka dsm mpaka matema.
Nyie watoto acheni nyege za kisiasa watu wazma tupo tunaijua system