Updates: Maendeleo ya afya ya Manumba

Updates: Maendeleo ya afya ya Manumba

Chungurumbira

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
2,170
Reaction score
571
WAnaJf ningependa japo kujua hali ya kiongozi muhimu wa taifa hili. Hali yake ikoje huko aliko???!!
 
mara ya mwisho alipelekwa bondeni sijuii kinachoendelea huko,ngoja nikamdadisi msemaji wa taasisi yake
 
mara ya mwisho alipelekwa bondeni sijuii kinachoendelea huko,ngoja nikamdadisi msemaji wa taasisi yake

bondeni alikaa siku mbili akapelekwa india,yule mbu aliyemuuma mkuu huyu ni hatari kuliko anoferes jike,lile litakuwa dume!
 
Nimesoma somewhere leo (nadhani gazeti la Mwananchi) Said Mwema akisema kuwa anaendelea vizuri na kuna uwezekano akarejea nyumbani mwishoni mwa wiki hii
 
Una uhakika na uyasemayo?au ndio nukuu za magazeti?,kwa taarifa yako tangu atie mguu Kusini hajaubandua hadi hivi niandikapo?
 
Dua la kuku alimpati mwewe, jamaaa ana miongo kadhaa ya kuishi. Pesa sabuni ya roho. Mlala hoi zamani kesha sahulika.
 
Hahahhaaaa ... hilo halikuwa jike wala dume... hilo lilikuwa jikedume!!!
teh teh teh...! Umeonaaaa,mbu huyu si wa kawaida kwa kweli ingewezekana wafanye msako wamuue,watu wa Rock city mtusaidie katika hili huenda aliuumwa kipindi cha uchunguzi wa kifo cha marehemu Barlow maeneo ya kitangiri minazi miwili kama sijasahau!
 
Back
Top Bottom