gublod
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 367
- 166
Wanamabadiliko,Leo ndio ile siku ya FUNGAKAZI ambayo tulikuwa tunaisubiria hususani kwa watu wa DSM hapo Jangwani.Hadi sasa sijaona updates zozote ya juu kinachoendelea pale Jangwani, mwenye nazo naomba atupie hapa. Wengine tupo mbali na Dar ila tunataka kujua kila kinachoendelea