Ndugu yangu aliomba nafasi pale kwa kujaribu tu na alipata. Na mimi nilikuwa na mawazo kama ya kwako lakini nilikuja kuyafuta baada ya mtoto wa mfugaji kupata nafasi pasipokujuana na mtu yeyote na cheti chake cha form six na JKT, sasa hivi ni security guard pale.