Updates; Kamanda Mawazo aipotezea mwelekeo CCM

CHADEMA for life!Go Chadema,go Kamanda Mawazo!This nasty party(CCM) should go to hell!Big hole of hell is just waiting for it.
 
Tunamtakia kila lililo jema katika kutekeleza majukumu yake aliyokabidhiwa hakika ameonesha kuyaweza/kuyamudu.
 
Huyu kamanda MAWAZO hana tofauti na CHE GUAVARA!
 
Ninachompendea huyu MAWAZO ni mtu wa kazi...Yeye anaweza field works si mtu wa ofisini....safi sana..CDM tunahitaji kuwa na watu wa namna hii wengi sana....
 
.
Huyu kamanda Mawazo ni nguzo miongoni mwa nguzo zilizokishikila chadema. Wakati masalia wakipoteza mda kwa kuuza sura kwenye media mijini, yeye yuko front msituni akikusanya nyara. MIA!!!
.
 
Ana taaluma gani huyu kijana?

Mara nyingi watu jobless ndio huwa na muda wa kuzurura...
 
Kwa mjibu wa taarifa toka kwa Mawazo ni kuwa leo ameweza kuvuna wanachama wapya 200 na wanachama 60
kutoka ccm . Hii amsha amsha amefanyika katika visiwa vya Lyumbo,Mchangani na Isenyi katika Jimbo la Muleba Kaskazini. Haya ni matokeo ya Ziara ya siku mbili ambapo kesho ziara hiyo itaendelea katika visiwa vya Lushoga, Nyabulo na Kinagi. Hii ndo hali halisi kuhusu yale yanayo jiri Wilayani Muleba. My take :- Time will tell .
 
Kwa mjibu wa taarifa toka kwa Mawazo ni kuwa leo ameweza kuvuna wanachama wapya 200 na wanachama 6
kutoka ccm . Hii amsha amsha amefanyika katika visiwa vya Lyumbo,Mchangani na Isenyi katika Jimbo la Muleba Kaskazini. Haya ni matokeo ya Ziara ya siku mbili ambapo kesho ziara hiyo itaendelea katika visiwa vya Lushoga, Nyabulo na Kinagi. Hii ndo hali halisi kuhusu yale yanayo jiri Wilayani Muleba. My take :- Time will tell .
 
Jamani huyu BIGMAN anapiga mzigo, Hongera zake, God will make him someone one day!!! KEEP IT UP!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…