Update za government salary scheme na mashirika yake

Update za government salary scheme na mashirika yake

Nimeshangaa CAG anasema mshahara wake ni 4 .7M
Mshahara wake Gross ni 7,000,000 Tshs.

Baada ya makato ndio anapata hiko chochote kitu. SIO HABA.

Kwa Nchi Masikini kama Tanzania, bado ni mshahara reasonable kabisa.
 
CAG kulipwa mil 7 kwa serikali ni kubwa sana hata makatibu wakuu kama wa wizara tena zinazozalisha hawafiki kama wanafika basi ni tangu jembe afe ...CAG anazalisha nn? ,pesa kama mil 7 ni kubwa kwake kwa sababu nje ya hiyo anapiga sana . Wanapofunga hesabu kama hivi wana poshpo , watu wanaanza kupiga hesabu ambazo wanalipwa mpaka per diem ya miezi mwili kwa kila siku ..Anayekula pesa ni Gavana , huyo anakula sambamba na Rais.

Kipind fulani Magu aliwatoa watu TMA na kuwapeleka wizarani , aliwaomba wapunguze miashara yao kwa vile walimpita Katibu Mkuu wa wizara mbali sana na huyo Katibu Mkuu ndiye anaenda kuwa mkubwa wao.​
 
Mshahara unauzwa kuwa 7m lakini posho milima Kitonga kama Mlima Kilimanjaro anaweza kujikuta anavuta mpunga mrefu hata 20m ( nimekadiria sio figure sahihi) hata Wabunge wetu wanalipwa 3m lakini tunafahamu wanachukua hadi 18m
 
Back
Top Bottom