Update yanayo jiri kwenye interview

Update yanayo jiri kwenye interview

Mkuu nambie basi majibu maana nami ni mmoja ya interviewee..!
 
Aaah mkuu usijifanye hujaelewa.. Mie nataka majibu ya hiyo interview.. Namaanisha majibu ya maswali yatakayoulizwa..!
1. indicators of good governance 2. what challenges you expect to meet as office assistant
 
972b79b044c0bb91f01702fb79cdaa2d.jpg

Mambo ya Ngorongoro hayo
 
Vijana ni mwendo wa kuchomekea, kwa mbali namuona mmoja anajiweka sawa kabisa..... kina dada kumbe nguo za kuwasitiri mnazo masandukuni mwenu!!
Kwenye writen nenda hata na Pensi utapiga pepa
 
Interview ya ngorongoro conservation watu ni wengi sna kuna jamaa nimekutana nae ni mwalim wa shule ya msingi ila amefanya interview ya office assistant
Bro tafadhari naomba msaada hapa.... nimepata taarifa toka kwa walio fanya usaili leo kuwa... kuna walio fanya usaili wa tanapa hapo hapo chuo cha uhasibu je ni kweli mlitangaziwa hili....

shukrani
 
Hapo napo tatizoo,

Mie nilianzaga kufyt nikiwa na zero kabisa just uaminifu na juhud ilinisaidia
Itakuwa ni vizuri mkuu ukatoa hata kasomo kidogo juu ya hilo hakika utakuwa umesaidia vijana wengi hakuna anaependa kutumikishwa ila hali haziruhusu hasa ukifatilia maisha mtu atokayo usikute labda wewe wakishua ebu wafungue vijana kipi na kipi wafanye ili wajikwamue ukiacha zile theory za kina shigongo ambazo nyingi ni nadharia zaidi.
 
Back
Top Bottom