Mtaweweseka sana kwa JK. Wapo waliodiriki kusema kuwa yeye ni dhaifu na sasa wanathibitishiwa kuwa si dhaifu. Alikuwa anawalea tu lakini wao hawana fadhila
hatukuona yeyote kutoka familia ya hosn mbarak misri akiandamana,mawazo yako hayatushangazi!!!!!!!!
Badala ya mimi kutafuta hela niisaidie familia yangu eti nikaandamane . Huu ni upuuzii uliotukuka . Wajinga ndio wafuate mawazo yako .
Badala ya mimi kutafuta hela niisaidie familia yangu eti nikaandamane . Huu ni upuuzii uliotukuka . Wajinga ndio wafuate mawazo yako .
Rafiki Yangu SSP Chuwa Akaongeza, "CCM ni Wepesi Mno na Weupe Suala linapofika Mahakamani"
Ww ni chizi samahan lakin..!
Tena kwa nini mapinduzi yasianzie arusha dar then isambae mikoa yote? Ni nchi haina watu wenye akili? Huu ni ujinga wa hali ya juu. Ndiyo maana watu huwapindua viongozi hivi hivi.Hivi kwanini watanzania tusifuate mfano wa wananchi wa Misri,Tunisia na Libya?
Kuna haja gani ya kuendelea kuwavumilia hawa watawala wanaofanana na madikteta?
Wewe na mimi katika hili ni watazamaji tu na washangiliaji.
Lakini ni dhahiri nani kashika mpini na nani kakumbatia makali.
Hujui kuwa kama system ikiwa nzuri hata hauitaji kutoa jasho ili kufanikiwa? . Jiunge na wenzako uboreshe maisha yako na ya kizazi chako.Hii ni kama uko sincere na wewe siyo imposter!
Tena kwa nini mapinduzi yasianzie arusha dar then isambae mikoa yote? Ni nchi haina watu wenye akili? Huu ni ujinga wa hali ya juu. Ndiyo maana watu huwapindua viongozi hivi hivi.
kwa hiyo mkuu unataka kuniaminisha kuwa JK kutumia majeshi anayoyaongoza kukamata raia wake wasio na hatia na kuwatesa,kuwaweka ndani,kuwang'oa kucha na meno,kuwafungulia mashitaka ya uongo,na kuwabambikizia kesi,ndo kiongozi shujaa? au ndo kigezo chako cha kumtambua kiongozi ambae sio dhaifu?Mtaweweseka sana kwa JK. Wapo waliodiriki kusema kuwa yeye ni dhaifu na sasa wanathibitishiwa kuwa si dhaifu. Alikuwa anawalea tu lakini wao hawana fadhila
kamanda lema amekutana kamanda RPC nani kamanda kati ya lema na RPC