Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,789
- 165,491
Badala ya mimi kutafuta hela niisaidie familia yangu eti nikaandamane . Huu ni upuuzii uliotukuka . Wajinga ndio wafuate mawazo yako .[/QUOTE
Nyerere angekuwa na mawazo kama yako,tusingepata uhuru!
Heri ya wajinga kuliko wewe pumb.avu na mbumbumbu usiyeelewa chochote.
hakuna nidhamu mbaya kama uoga!
Badala ya mimi kutafuta hela niisaidie familia yangu eti nikaandamane . Huu ni upuuzii uliotukuka . Wajinga ndio wafuate mawazo yako .

Hivi kwanini watanzania tusifuate mfano wa wananchi wa
Misri,Tunisia na Libya?
Kuna haja gani ya kuendelea kuwavumilia hawa watawala wanaofanana na
madikteta?
fastjet chaliMungu ni mwema. Yanamwisho haya hata kama yataexist kwa miaka 2000, mubaraka chali, osama chali, gadafi chali, sadam hussein chali, charles teilor chali..........
Badala ya mimi kutafuta hela niisaidie familia yangu eti nikaandamane . Huu ni upuuzii uliotukuka . Wajinga ndio wafuate mawazo yako .
na hutakaa upate pesa zaidi ya 7000 unazopewa na Nepi Lumumba,afu isitoshe na ww ni wa kiume....magamba bhana
Badala ya mimi kutafuta hela niisaidie familia yangu eti nikaandamane . Huu ni upuuzii uliotukuka . Wajinga ndio wafuate mawazo yako .
Badala ya mimi kutafuta hela niisaidie familia yangu eti nikaandamane . Huu ni upuuzii uliotukuka . Wajinga ndio wafuate mawazo yako .
Badala ya mimi kutafuta hela niisaidie familia yangu eti nikaandamane . Huu ni upuuzii uliotukuka . Wajinga ndio wafuate mawazo yako .
kumjuwa kicha si lazima umkute na makopo, hata anachoongea kinatosha kuonyesha ukichaa wakejaribu uone watakavyosigina guu lako na hapo lema na chalema yake hawatokusaidia lolote..
Sina uoga wowote ila mimi sio bendera fuata upepo kama wewe .
"You cant be free if others are oppressed" Julius Kambarage Nyerere....The Late Father of Nation!