President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,550
- 89,518
*Uzi huu utakuwa ni update ya kila siku kuhusu kauli mbiu hii ambayo inamfaa kila mtanzania. *
Kauli mbiu rasmi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 ni "KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE" . Kauli mbiu hii inasisitiza umuhimu wa kufanya kazi kwa bidii huku tukidumisha utu na mshikamano katika jamii yetu, ili kuendelea kusonga mbele katika maendeleo ya taifa.
Tangu kuingia madarakani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan mwaka 2021, Serikali imefanikiwa kujenga shule za msingi mpya zaidi ya 468, hatua inayolenga kuboresha elimu nchini . Hii ni sehemu ya juhudi za CCM katika kuimarisha sekta ya elimu na kuhakikisha watoto wa Kitanzania wanapata fursa bora za kujifunza.