Tunaomba update za interview TRA

Ngunya1

JF-Expert Member
Jul 21, 2017
406
642
Jamani kwa wale ambao mmefanya interview hasa upande custom assistant tunaomba mrejesho interview ilikuaje maswali yaliyo ulzwa mi niltamani sana nifanye hii interview ila baada ya ratiba kubadilishwa nikakwama kabisa
 
Haya ndio yalikuwa maswali kiongozi

1. What should appear in a custom inspection report

2. Necessary documents for shipping merchandise

3. How do you assess value for import from a Multilateral corporation

4. How do you generate revenue from a bonded warehouse

My take: Hakuna awali nililokuwa nalifahamu kwa usahihi cause ya taaluma yangu ya awali. So, nilichojibu nilitumia akili ya kujiongeza.
 
Ni haya tu mkuu?
Ila asante sana naona maswali yanaendana na sector ya clearing and forwading.

Nitayatafutia majibu pia maana ajira za Tanzania shipping agency zinakuja
 
ni haya tu mkuu?
ila asante sana naona maswali yanaendana na sector ya clearing and forwading.

ntayatafutia majibu pia maana ajira za Tz shipping agency zinakuja
Dah ukweli wa Mungu kulingana na course nliyo soma hakuna swali ambalo ningeweza kujibu
 
Haya ndio yalikuwa maswali kiongozi

1. What should appear in a custom inspection report

2. Necessary documents for shipping merchandise...
Nilisoma nikaona ni maswali rahisi Sana lakini nilivyoanza kujibu tu nikagunduwa siyo maswali rahisi nikaamuwa kujibu hivyo hivyo kila swali point 10-13 maana zilikuwa zinakuja nyingi sana ila nimeshafaulu ,,mkiona amefauru mtu mmoja tuu mjuwe ni Mimi tuu😂😂😂😂😂😂
 
:oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops: duuuh point 10-13 ulkua unaandika essay au
 
Back
Top Bottom