Update: hotel nyingi hapa dodoma zina huduma ya wi-fi

Ukiwa hapa royal village hotel unaweza hisi uko les Angeles kule America hahah Noma Sana
sio hotel nyingi, hotel zote Dodoma zina wi-fi. na ninachoipendea Dodoma ikifika saa moja kamili ndio kumekucha, wanachoma kuku na kufanya biashara kama hawana akili nzuri. mara nyingi nikienda huwa napenda kwenda kutafuta kuku choma kuanzia mita ya saa mbili hivi usiku. na ni kuku sio hayo madelila tunachomewa hapa DSM.
 
Back
Top Bottom