Upatikanaji wa kazi airtel na vodacom

Masuke

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2008
Messages
4,616
Points
1,250

Masuke

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2008
4,616 1,250
Kazi nyingi wanazotangaza ni internal advertisement ambayo sasa inategemea kama kuna mtu anakufahamu una sifa ambaye yuko ndani tayari ya kampuni anaweza kukupenyezea hizo information na wewe waweza peleka cv kama wataipenda watakuita kwa ajili ya interview.
 

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
9,743
Points
0

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
9,743 0
Jinsi ya kupata kazi vodacom,nijuavyo mimi:unapelea cv kwa specialist recruitment mfano kwa hapa dar unapeleka CV yako pale EROLINK,baada ya kuipitia wao wanakupigia simu,then wanakupa intavyuu kulingana na voda,intavyuu ya kwanza ni mtihan ambao ni general knowledge,then wanakupa test ya kompyuta,kama utafuzu baada ya wiki wanakupigia simu kwa oral intavyuu,then wanapeleka majina vodacom kwa waliopita kula nako kuna training na intavyuu nyingine,ukuqualify wanakuajiri
 

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
34,566
Points
2,000

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
34,566 2,000
Imbombo ngafu bora niendelee na mibizness yangu haya mambo ya kuajiriwa ni kupotezeana mida tu.........process zote hizo utafikiri unahajiriwa na cia????? Khaaaaaaa
 

Forum statistics

Threads 1,352,651
Members 518,177
Posts 33,065,288
Top