ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 808
Je uliwahi kuipanda hiyo basi -''Sirori Teina Horo'' Maana yake Sisimizi hana hasira. Mimi nilisimuliwa tu sikuwahi kuiona ila dada na kaka zangu waliwahi kusafiri nayo.
View attachment 345158
utakuwa umeongea ukweli maana hayo maandishi yenyewe yamewekwa kwenye pichaKwanza sisi wa enzi hizo tunajua hakukuwa na mabasi ya East African Railways bus kwa vitongoji i.e. Kutoka Usangi (Vuasu) kwenda Moshi. Haya mabasi yalikuwa long route kama vile Dar Arusha to Nairobi..... Dar Mbeya., Dar Dodoma na Dodoma Arusha/ Moshi na pia Bukoba Mwanza wakati meli haifanyi kazi.
Ni kweli hata mimi naona hivyo na lipo la zaidi. Hilo bus lina rangi na alama na namba za kampuni ya reli afrika mashariki (enzi hizo).Kwa tanzania mabus haya yalihudumia barabara za arusha mpaka mbeya kupitia dodoma na iringa.Hakuna bus la railway lililokuwa likihudumia njia ya usangi mpaka moshi.Hii picha feki, hayo maandishi ya sirori yamewekwa na hayo ya usangi moshi pia, yameandika juu ya picha
SIRORI sio sisimizi wewe mtoa post: SIRORI ni nyuki wadogo wale ambao sio wakali na wanatengeneza asali ambayo wataalamu wanasema ni nzuri na sometimes inatumika kama dawa. (asali ya nyuki wadogo)
SIRORI TEINA HORO means nyuki wadogo hawana hasira
Yalaaaaaah, uwiiuiuJe uliwahi kuipanda hiyo basi -''Sirori Teina Horo'' Maana yake Sisimizi hana hasira. Mimi nilisimuliwa tu sikuwahi kuiona ila dada na kaka zangu waliwahi kusafiri nayo.
View attachment 345158
washinjiadhe?CHIKIRA;
Mi nakutiyo; Nahavache, we uu mwathu kweri. Msijitwalie utukufu kwa lugha za wengine jamani. Ila, thwali langu ni, Mbona ni la shirika letu tukufu East Africa Railway?? Ni mabasi yalikuwa very very famous. Enzi hizo 1968!! Karakana kuu ikiwa Dodoma?
CHIKIRA ;washinjiadhe?
name kachaheavo ii nikuti MGHOTHI EVAVACHIKIRA ;
Thaa iji uthwi tweti; Malokyoo? Mirao turevedi avaye
name kachaheavo ii nikuti MGHOTHI EVAVA