Upareni hadi Moshi enzi hizo

Nashengena

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
2,879
5,272
Je uliwahi kuipanda hiyo basi -''Sirori Teina Horo'' Maana yake Sisimizi hana hasira. Mimi nilisimuliwa tu sikuwahi kuiona ila dada na kaka zangu waliwahi kusafiri nayo.

IMG-20160505-WA0035.jpg
 
SIRORI sio sisimizi wewe mtoa post: SIRORI ni nyuki wadogo wale ambao sio wakali na wanatengeneza asali ambayo wataalamu wanasema ni nzuri na sometimes inatumika kama dawa. (asali ya nyuki wadogo)
SIRORI TEINA HORO means nyuki wadogo hawana hasira
THIRORI TEINA HORO MIRA...................
 
Hii picha feki, hayo maandishi ya sirori yamewekwa na hayo ya usangi moshi pia, yameandika juu ya picha
 
SIRORI sio sisimizi wewe mtoa post: SIRORI ni nyuki wadogo wale ambao sio wakali na wanatengeneza asali ambayo wataalamu wanasema ni nzuri na sometimes inatumika kama dawa. (asali ya nyuki wadogo)
SIRORI TEINA HORO means nyuki wadogo hawana hasira
Sirori sio nyuki wala sisimizi, ni inzi flani wadogo wadogo mara nyingi wanaonekana msimu wa embe!

Duc In Altum.
 
All in all !!! Naidhihirwa muno kukichana na vathu vaghenji!!!

Duc In Altum.
 
Kwanza sisi wa enzi hizo tunajua hakukuwa na mabasi ya East African Railways bus kwa vitongoji i.e. Kutoka Usangi (Vuasu) kwenda Moshi. Haya mabasi yalikuwa long route kama vile Dar Arusha to Nairobi..... Dar Mbeya., Dar Dodoma na Dodoma Arusha/ Moshi na pia Bukoba Mwanza wakati meli haifanyi kazi.
 
Kuna lingine lilikuwa linaitwa Vuma la kwenda milimani Ugweno.
Ha vaathu va vughweno..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom