Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,341
Hivi inakuaje kwa uzuri wako ukakosa wilaya?
usijari kila jambo na wakati wake
Nini ukuu wa wilaya. Njoo kwangu nikupe uwaziri wa mambo ya ndani😀 kabisa.
Yaani JF upende usipende utacheka tu. Unashangaa upanuzi wa barabara na uzuri wa mleta mada vinauhusiano gani. Lakini JF watakupeleka nje ya box. Kuleni likes.