Upanuzi wa barabara ya Morogoro

Upanuzi wa barabara ya Morogoro

Ile ya chalinze ni mradi mwingine hii ya sasa ni ubungo kibaha

Mbona kama ndivyo kufika kibaha tunakuwa kama tumerudi Kimara, mimi nilidhani inakwenda mpaka Mlandizi na kila njia inakuwa na speed yake ili kuhamasisha magari kupungua mjini kwa haraka
 
2020 HELA YA UCHAGUZI TUNAMALIZIA KIPANDE CHA KUTOKA KIBAHA MPAKA CHALINZE,hakutakua na maandamano ya kuku wala ndezi
 
Mbona kama ndivyo kufika kibaha tunakuwa kama tumerudi Kimara, mimi nilidhani inakwenda mpaka Mlandizi na kila njia inakuwa na speed yake ili kuhamasisha magari kupungua mjini kwa haraka
project ya Dar - Chalinze haipitii Kimara inaanzia daraja la Kigamboni inapitia kisarawe kwa Jokate mpk chalinze
 
Hayo ni maendeleo mazuri Hongera walipa kodi
 
Back
Top Bottom