neema shamuhenya
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 312
- 216
kweli kabisabora wapanue tu, tuweze kuingia na kutoka vizuri
kweli kabisaAhsante Magufuli hakika wewe ni zaidi ya maraika
ndioHivi hii ndiyo tuliambiwa njia sita hadi Chalinze?
subiri tu maana hawakosi kabisaVisebengo wa ufipa hata hili watakuja kupinga .
usijari kila jambo na wakati wakeHivi inakuaje kwa uzuri wako ukakosa wilaya?
usijari kila jambo na wakati wake
Kwa mwandiko huu,ukiwa kiongozi basi ndio sababu Tanzania ipo kama ilivyo.usijari kila jambo na wakati wake
Kwani ni yeye mkuu? Shasema tuweke zetu original watu hawataki na hawapendi sijui kwanini tu!Hivi inakuaje kwa uzuri wako ukakosa wilaya?
Hili tangazo ni la mwaka jana kama ndio wameanza basi heri