Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,109
- 18,326
Ethiopia wamepanua uwanja wao kwa kujenga terminal mpya kwa gharama ya usd mil 363 sawa na Bil 750 za tz.
Terminal hiyo itaongeza uwezo kwa idadi ya abiria toka Mil 7 hadi Mil 22 ya uwanja huo sawa na ongezeko la abiria mil 15.
Hapa Tanzania terminal 3 imegharimu Bil 560 na uwezo wa uwanja umeongezeka kwa mil 6 tuu.
Najaribu kulinganisha naona kama Tanzania tumepigwa kama ubora wa kazi upo sawa.
BOLE Airport new terminal imejengwa na wachina wakati terminal 3 ya jnia imejengwa na wazungu..
Lakini bado naona tumepigwa.
Sent using Jamii Forums mobile app