kuna watu wanakaaga kaunta kuanzia jumatatu hadi jumapili utafikiria vinywaji sijui wanatumia hela za urithi
sema ulevi uko wa aina anuwaiWalevi bana,, utawajua tu
mkuu kitalolo hujakose akabisa aise kuna watu utafikiri wana share na baa toka jumatatu mpaka jpili na mwanzo wa mwezi mpaka mwisho wa mwezi
ila kwa uchumi huu wa sasahivi sio dili kabisa yaani ukishaona mataifa makubwa kama marekani wanalalamika kuwa hali ya uchumi ni mbay basi ujue kwao ikiwaka ta ya kijani huku kwetu tayari ni nyekundu mataifa ya ulaya mengine ilibidi yachangiwe hela kukabiliana na mdororo wa kiuchu sasa kujenga heshi bar jkihivyo faina uzeeni lazima ajute tu huyo mkuu Mr Rocky
mkuu kitalolo wewe ndo unajipa stress za sijui mdororo wa uchumi sijui nini
Kuna watu hawajui masuala hayo wao wakizichanga heshima inakuwa bar sio kufanya maendeleo
Wewe ndio unawaza sijui watoto wakasome sijui ukajenge kuna watu hawawazi hayo wao wakipata ni pombe na kitu ileee kwisha kazi hata kama anaishi nyumba ya kupanga chumba kimoja na watoto na mke