Upangaji Bei (Price Control); Has it & Can it Ever Work ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upangaji Bei (Price Control); Has it & Can it Ever Work ?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by VoiceOfReason, Aug 10, 2011.

 1. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Wengi wanao-advocate price control wanasema kwamba hii ni njia ya kuwa-protect watu wengi na wafanyabiashara ambao watapanga bei kubwa ili kupata faida kubwa ; Lakini Je hii ilishasaidia sehemu yoyote na inaweza kufanya kazi zaidi ya kwenye vitabu (theoretically not practical)

  Nimejaribu kutoa extracts kwenye sehemu tofauti through history kuonyesha kwamba price control has never and will never work (kwa maelezo zaidi angalia au tafuta The Commanding Heights Episode 1 & 2)

  Even Economists Disagree
  Why It Never Works
  US tried it..., With Undesirable Results
  .

  People will Evade Controls and Black Market will Prevail
  My Take

  Free market is the way to go..., Tuache Supply and Demand ifanye kazi yake, Nchi nyingi zilijaribu price control matokeo yake yakawa mabaya hata zile ambazo hazikuwa tajiri (Chile, Bolivia, Poland n.k.) Pia nchi zilizoendelea zilijaribu mambo hayakuwa mazuri (USA, UK) na hata Russia baada ya ku-embrance free market mambo yalibadilika for the best...

  Serikali cha kufanya ni kuhakikisha kuna competition na kuna surplus ya bidhaa ili bei zisiweze kupangwa na sio kulazimisha mtu auze kitu kwa bei fulani (It never works...) na sisemi haya kwa kupenda Upebari bali History tells us so.
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Minimum Wages...

   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Another Proof kwamba kupanga bei hakufanyi kazi....!!!

  Nimeongea na mtu yupo Bukoba anasema kwamba sukari ni Tshs 2,500/= mpaka 3,000/= (ingawa Bukoba kuna kiwanda) lakini inasemekana mzigo unapelekwa Uganda ambako wauzaji wanapata faida ya mara mbili zaidi

  Kwahiyo hii inaonyesha kwamba cha kufanya ni free market ruksa kwa anaeweza kuleta mzigo alete na anaeweza kuuza auze kwa bei yake kulingana na demand kupangia watu bei ni kuleta magendo
   
Loading...