Umeandika kwa makasiriko sana 🤣Wakristo walialikwa sebuleni wameingia mpaka chumbani.
Walivyokuwa wanapelekewa viporo vya futari na daku wamezoea na sasa wanaona ni haki yao.
Eti unakuta mkristo anagongea kanzu ili aende akafuturishwe, ni ushamba!
Nionavyo mimi ni kwamba waislamu wana utamaduni wa kula kifamilia tofauti na wakristo, hivyo hawana jadi ya uchoyo. Wakristo chakula kinawachanganya sana!
manena mwili wa kuvaa pashmina utoe wapi pacha 😅😂Nishanunua pashimina langu na heels za Beyonce 😹😹
Leteni mialiko hiyo tuje kufinya mpunga..!!
Kimya kimya Kvp? Kwamba hujui Pasaka ni lini, hujui Krismas ni lini?zakwao zinakuwaga kimya kimya kama vile hakuna sikuku.
Wee wale wa turkey wanatoa wapi? 😹manena mwili wa kuvaa pashmina utoe wapi pacha 😅😂
Asante mkuu, tunakuja na boti ya asubuhi kesho mapema, sisi sote ni ndugu moja.Karibuni sana Wakiristo Idd Zanzibar
Ninao waona wengi wana mwili na big bum, we vaa ka hutaonekana ka gari lime funikwa na turubaiWee wale wa turkey wanatoa wapi? 😹
Muhimu pashmina nnalo na natamba nalo..!!
Karibu sanaAsante mkuu, tunakuja na boti ya asubuhi kesho mapema, sisi sote ni ndugu moja.
Nimelia sana 😥😹😹😹Ninao waona wengi wana mwili na big bum, we vaa ka hutaonekana ka gari lime funikwa na turubai
Vaa abaya tu, maana ukivaa skin jeans watakutimua na komwe lako 😅Nimelia sana 😥😹😹😹
Kwahiyo nivae skin jeans na mtandio kesho? Si watanifukuza jamani??
tunazungumzia mualiko wa sikukuu..Panapitaga kimya bila mualiko as if hakuna sikukuu..usipaniki ni vijimambo tu vya kujirekebisha...Kimya kimya Kvp? Kwamba hujui Pasaka ni lini, hujui Krismas ni lini?
Em nieleweshe hapo, kimyakimya kvp
Sasa wap nmepanic? Mbona unanilisha maneno?tunazungumzia mualiko wa sikukuu..Panapitaga kimya bila mualiko as if hakuna sikukuu..usipaniki ni vijimambo tu vya kujirekebisha...
umeelewa tuishie hapo.Sasa wap nmepanic? Mbona unanilisha maneno?
Anyway, kwamba unataka mialiko iwe inapitia kwako?
Kakojoe ulale Kesho ufurahie Eid mliyopewa na mufti wenu 🤣umeelewa tuishie hapo.
Ahsante sana mkuu..Karibuni sana Wakiristo Idd Zanzibar
Nakazia..Pilau lenu huwa linakuwa tamu,
That's all