Upande wa Pili Mbona Pumzi Imekata?

Upande wa Pili Mbona Pumzi Imekata?

Wakuu,
Ningependa Kuwauliza Wenzetu Wa Kuleee Mbona Kimyaaa?

a)Ziara za Kubip-Kwishney!
b)Utumbuaji wa Kikaole-Kwishney!
c)Uwindaji wa Watumishi Hewa-Kwishney!
d)Hotuba za Majigambo-Kwishney!
e)Chama Kimepooza,Mpaka Kinatia Huruma,Isingekuwa Kujificha Nyuma ya Serikali Tungeshaongea Mengine!
f)Mwenyekiti Wenu u Wapi?

NB: Kuna Mtumishi Kaninong'oneza Kuwa "Bata Limeanza Tena", Tena Kwa Kuwa Masilahi Yao Hayaja Heshimiwa Mwezi July na Kazi Nyingi Kwa Kukosa Usaidizi wa Output ya Ajira Mpya Nao Wanarevenge Juu kwa Juu!

Ameniambia Kuwa Mwenyechama na Serikali Yake Pumzi Imekata:Route Ndefu,Pumzi Fupi!Ufuatiliji Umekuwa Zero Kwa Kuwa Wasaidizi Walikuwa Wanasubiri Aseme,na Wao Waupitishe Mwangi Mpaka Chini!Kwa Kuwa yu Kimya,Hata System Nzima Imepoa!
Nami Nauliza:Upande wa Pili "Ganzi" Hii Iliyo Wakumba Chanzo ni Nini?
" Kigwangwala afunga geti alfajiri , mabosi tumbo joto " usanii wa ccm wale wa mizengwe wana nafuu .
 
Wakuu,
Ningependa Kuwauliza Wenzetu Wa Kuleee Mbona Kimyaaa?

a)Ziara za Kubip-Kwishney!
b)Utumbuaji wa Kikaole-Kwishney!
c)Uwindaji wa Watumishi Hewa-Kwishney!
d)Hotuba za Majigambo-Kwishney!
e)Chama Kimepooza,Mpaka Kinatia Huruma,Isingekuwa Kujificha Nyuma ya Serikali Tungeshaongea Mengine!
f)Mwenyekiti Wenu u Wapi?

NB: Kuna Mtumishi Kaninong'oneza Kuwa "Bata Limeanza Tena", Tena Kwa Kuwa Masilahi Yao Hayaja Heshimiwa Mwezi July na Kazi Nyingi Kwa Kukosa Usaidizi wa Output ya Ajira Mpya Nao Wanarevenge Juu kwa Juu!

Ameniambia Kuwa Mwenyechama na Serikali Yake Pumzi Imekata:Route Ndefu,Pumzi Fupi!Ufuatiliji Umekuwa Zero Kwa Kuwa Wasaidizi Walikuwa Wanasubiri Aseme,na Wao Waupitishe Mwangi Mpaka Chini!Kwa Kuwa yu Kimya,Hata System Nzima Imepoa!
Nami Nauliza:Upande wa Pili "Ganzi" Hii Iliyo Wakumba Chanzo ni Nini?
"Ukiona Adui yako anakusifia,Basi jiangalie umekosea wapi"
Duuuh kweli nyie ni maadui maana kila uchao mnaomba afeli mpate cha kusema.
 
Tupo bize tunatembeza bakuli kuchangisha Pesa za maafa. Tulitenga bajeti hewa ya maafa, tetemeko limetuumbua. Tupeni muda tutembeze bakuli. Tukichangisha nyingi tutawaomba wahanga nusu ya Pesa yao tujenge kiwanda ili wafanye kazi wajenge nyumba zao.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Unapoanza kukimbia usikimbie kwa speed kubwa utachoka haraka..ila Ni vyema ukaanza na speed ndogo umalize na speed kubwa
 
Back
Top Bottom