Upande wa Pili Mbona Pumzi Imekata?

Upande wa Pili Mbona Pumzi Imekata?

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
8,105
Reaction score
5,642
Wakuu,
Ningependa Kuwauliza Wenzetu Wa Kuleee Mbona Kimyaaa?

a)Ziara za Kubip-Kwishney!
b)Utumbuaji wa Kikaole-Kwishney!
c)Uwindaji wa Watumishi Hewa-Kwishney!
d)Hotuba za Majigambo-Kwishney!
e)Chama Kimepooza,Mpaka Kinatia Huruma,Isingekuwa Kujificha Nyuma ya Serikali Tungeshaongea Mengine!
f)Mwenyekiti Wenu u Wapi?

NB: Kuna Mtumishi Kaninong'oneza Kuwa "Bata Limeanza Tena", Tena Kwa Kuwa Masilahi Yao Hayaja Heshimiwa Mwezi July na Kazi Nyingi Kwa Kukosa Usaidizi wa Output ya Ajira Mpya Nao Wanarevenge Juu kwa Juu!

Ameniambia Kuwa Mwenyechama na Serikali Yake Pumzi Imekata:Route Ndefu,Pumzi Fupi!Ufuatiliji Umekuwa Zero Kwa Kuwa Wasaidizi Walikuwa Wanasubiri Aseme,na Wao Waupitishe Mwangi Mpaka Chini!Kwa Kuwa yu Kimya,Hata System Nzima Imepoa!
Nami Nauliza:Upande wa Pili "Ganzi" Hii Iliyo Wakumba Chanzo ni Nini?
 
Tupo bize tunatembeza bakuli kuchangisha Pesa za maafa. Tulitenga bajeti hewa ya maafa, tetemeko limetuumbua. Tupeni muda tutembeze bakuli. Tukichangisha nyingi tutawaomba wahanga nusu ya Pesa yao tujenge kiwanda ili wafanye kazi wajenge nyumba zao.
aya mkuu,ila mbona kila siku viwanda mnavyofanikiwa kujenga ni Viwanda vya Maneno Tu?
 
MAGUFULI ANA AKILI XAANAA. AKITUMBUA TUMBUA NA NYIE MNAANZA KUWATETEA MAFISADI HAO. AKIKAAA KIMYA ETI KASHINDWA . HAAAHAAA MWACHENI AWANYOSHE NYIA MLIOZOEA MADILI HALAFU MNANUNULIWA VIROBAA TU. SASA KAFANYENI KAZI ILIMUONE UGUMU WA FEDHA HIZO
mkuu,kwani wapi nimemtaja Huyo uliemtaja?
 
Hawa ndio watanzania ukiwa unatekeleza wanalalamika ukitulia wanakubeza pumzi imekata. Kama ni mtu mwenye uwezo wa kufikiri, kutumbua, kusaka watumishi hewa na makolokolo mengine si vipaumbele vya Serikali bali endapo vikipunguzwa kama si kuondelewa vitasaidia kufikia malengo.
 
Hahaaaaaaaaaa

Mimi mnanichekesha sana maana, mmeshindwa hata kujifanyisha kwamba hamuumii.

Mzee yupo makini sana na amini nawaambia, na tutarajie vijana wengi kuwa mabwabwa maana mh........
 
Hawa ndio watanzania ukiwa unatekeleza wanalalamika ukitulia wanakubeza pumzi imekata. Kama ni mtu mwenye uwezo wa kufikiri, kutumbua, kusaka watumishi hewa na makolokolo mengine si vipaumbele vya Serikali bali endapo vikipunguzwa kama si kuondelewa vitasaidia kufikia malengo.
Ahahaha,Aya
 
Wakuu,
Ningependa Kuwauliza Wenzetu Wa Kuleee Mbona Kimyaaa?
a)Ziara za Kubip-Kwishney!
b)Utumbuaji wa Kikaole-Kwishney!
c)Uwindaji wa Watumishi Hewa-Kwishney!
d)Hotuba za Majigambo-Kwishney!
e)Chama Kimepooza,Mpaka Kinatia Huruma,Isingekuwa Kujificha Nyuma ya Serikali Tungeshaongea Mengine!
f)Mwenyekiti Wenu u Wapi?
NB:
Kuna Mtumishi Kaninong'oneza Kuwa "Bata Limeanza Tena",Tena Kwa Kuwa Masilahi Yao Hayaja Heshimiwa Mwezi July na Kazi Nyingi Kwa Kukosa Usaidizi wa Output ya Ajira Mpya Nao Wanarevenge Juu kwa Juu!
Ameniambia Kuwa Mwenyechama na Serikali Yake Pumzi Imekata:Route Ndefu,Pumzi Fupi!Ufuatiliji Umekuwa Zero Kwa Kuwa Wasaidizi Walikuwa Wanasubiri Aseme,na Wao Waupitishe Mwangi Mpaka Chini!Kwa Kuwa yu Kimya,Hata System Nzima Imepoa!
Nami Nauliza:Upande wa Pili "Ganzi" Hii Iliyo Wakumba Chanzo ni Nini?
Haya ni majungu watu hawafanyi kazi kwa kufuata hisia zenu na mihemuko yenu, mwacheni afanye kazi, nyie hamnaga wema.

Mwenyekiti CCM JF
 
Back
Top Bottom