Upande wa Pili Mbona Pumzi Imekata?

Upande wa Pili Mbona Pumzi Imekata?

Mimi katika maajabu yote yaliyonishangaza na ambalo sijawahi kulisikia tangu Tanzania iumbwe ni suala la serikali kukosa pesa kabisa ya dharula kwa wahanga wa tetemeko huko Kagera, wakati kuna kitengo cha maafa na majanga chini ya ofisi ya w/Mkuu.

Na ajabu zaidi bajeti imepitishwa mwezi wa sita tu hapo kwa mbwembwe nyingi, kumbe ni bajeti hewa hakuna chochote, pesa ziko kwenye makaratasi, hazina hakuna.

Na hakujatokea janga tangu bajeti ipitishwe pengine wangetudanganya kuwa pesa za maafa na majanga zimetumika ktk janga flani, la Kagera ndo janga la kwanza kutokea tangu bajeti ipitishwe na hakuna hela ya dharula ya kuwasaidia wahanga, ni maajabu sana kwangu.
 
kuna mtu alinipa nukuu ya mentality ya watumishi wa nchi za kijamaa!alisema:
"Wanajifanya Kutulipa Mishahara,na Sie Tunajifanya Kufanya Kazi"!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ndo ilivyo
kila Mtu anajifanya....
 
Mimi katika maajabu yote yaliyonishangaza na ambalo sijawahi kulisikia tangu Tanzania iumbwe ni suala la serikali kukosa pesa kabisa ya dharula kwa wahanga wa tetemeko huko Kagera, wakati kuna kitengo cha maafa na majanga chini ya ofisi ya w/Mkuu.

Na ajabu zaidi bajeti imepitishwa mwezi wa sita tu hapo kwa mbwembwe nyingi, kumbe ni bajeti hewa hakuna chochote, pesa ziko kwenye makaratasi, hazina hakuna.

Na hakujatokea janga tangu bajeti ipitishwe pengine wangetudanganya kuwa pesa za maafa na majanga zimetumika ktk janga flani, la Kagera ndo janga la kwanza kutokea tangu bajeti ipitishwe na hakuna hela ya dharula ya kuwasaidia wahanga, ni maajabu sana kwangu.
Mkuu,kuna memba humu ana Signature inayosemeka hivi:
"Muda Ndio Jibu Tosha la Mtu Muongo"!
Tetemeko La Bukoba Limeiumbua Serikali!
 
Tupo bize tunatembeza bakuli kuchangisha Pesa za maafa. Tulitenga bajeti hewa ya maafa, tetemeko limetuumbua. Tupeni muda tutembeze bakuli. Tukichangisha nyingi tutawaomba wahanga nusu ya Pesa yao tujenge kiwanda ili wafanye kazi wajenge nyumba zao.

Mkuu umemaliza
 
Back
Top Bottom