Upande wa Pili Mbona Pumzi Imekata?

Upande wa Pili Mbona Pumzi Imekata?

Wakuu,
Ningependa Kuwauliza Wenzetu Wa Kuleee Mbona Kimyaaa?
a)Ziara za Kubip-Kwishney!
b)Utumbuaji wa Kikaole-Kwishney!
c)Uwindaji wa Watumishi Hewa-Kwishney!
d)Hotuba za Majigambo-Kwishney!
e)Chama Kimepooza,Mpaka Kinatia Huruma,Isingekuwa Kujificha Nyuma ya Serikali Tungeshaongea Mengine!
f)Mwenyekiti Wenu u Wapi?
NB:
Kuna Mtumishi Kaninong'oneza Kuwa "Bata Limeanza Tena",Tena Kwa Kuwa Masilahi Yao Hayaja Heshimiwa Mwezi July na Kazi Nyingi Kwa Kukosa Usaidizi wa Output ya Ajira Mpya Nao Wanarevenge Juu kwa Juu!
Ameniambia Kuwa Mwenyechama na Serikali Yake Pumzi Imekata:Route Ndefu,Pumzi Fupi!Ufuatiliji Umekuwa Zero Kwa Kuwa Wasaidizi Walikuwa Wanasubiri Aseme,na Wao Waupitishe Mwangi Mpaka Chini!Kwa Kuwa yu Kimya,Hata System Nzima Imepoa!
Nami Nauliza:Upande wa Pili "Ganzi" Hii Iliyo Wakumba Chanzo ni Nini?

Nasikia kuna wateule kama 13 nao wameingia mitini, hawaja report kwenye vituo vyao vya kazi.
 
Mfano Inshu ya Watumishi Hewa,kuna Watu Wametemeshwa vibarua,kwa fitna,majungu na kujikomba komba,ili tu kuwakomoa!Inauma sana!
Hiyo ya watumishi hewa na mke wangu alikuwepo ila karudi kwenye system lakini hajalipwa mishahara yake ya takribani miezi mi 3..walimkagua tena ikaonekana yupo safi
 
mkuu,kwani wapi nimemtaja Huyo uliemtaja?
kama nia ya mambo yote hayo yametimia kwa ulitaka atumbue kwa miaka mitano hata watu ambao hawana makosa? Au kuna wwenye makosa unawajua hawajatumbuliwa hebu wataje maana yeye hana ajizi ili mradi tu apewe taaria , na hakurupuki mwenzio hufanya uchunguzi ndio hutumbua sasa lete taarifa ifanyiwe kazi otherwise chapa kazi kodi yako inahitajika kwa maendeleo ya watanzania!
 
Wakuu,
Ningependa Kuwauliza Wenzetu Wa Kuleee Mbona Kimyaaa?
a)Ziara za Kubip-Kwishney!
b)Utumbuaji wa Kikaole-Kwishney!
c)Uwindaji wa Watumishi Hewa-Kwishney!
d)Hotuba za Majigambo-Kwishney!
e)Chama Kimepooza,Mpaka Kinatia Huruma,Isingekuwa Kujificha Nyuma ya Serikali Tungeshaongea Mengine!
f)Mwenyekiti Wenu u Wapi?
NB:
Kuna Mtumishi Kaninong'oneza Kuwa "Bata Limeanza Tena",Tena Kwa Kuwa Masilahi Yao Hayaja Heshimiwa Mwezi July na Kazi Nyingi Kwa Kukosa Usaidizi wa Output ya Ajira Mpya Nao Wanarevenge Juu kwa Juu!
Ameniambia Kuwa Mwenyechama na Serikali Yake Pumzi Imekata:Route Ndefu,Pumzi Fupi!Ufuatiliji Umekuwa Zero Kwa Kuwa Wasaidizi Walikuwa Wanasubiri Aseme,na Wao Waupitishe Mwangi Mpaka Chini!Kwa Kuwa yu Kimya,Hata System Nzima Imepoa!
Nami Nauliza:Upande wa Pili "Ganzi" Hii Iliyo Wakumba Chanzo ni Nini?
Kwa akili ndogo na ya kawaida unategemea utumbuaji na uwindaji wa watumishi hewa viwe vitu vya kudumu?
 
Aliambiwa ni nguvu ya soda akajifanya anaweza sasa pumzi imekata amebaki kuishi kwa propaganda
 
kama nia ya mambo yote hayo yametimia kwa ulitaka atumbue kwa miaka mitano hata watu ambao hawana makosa? Au kuna wwenye makosa unawajua hawajatumbuliwa hebu wataje maana yeye hana ajizi ili mradi tu apewe taaria , na hakurupuki mwenzio hufanya uchunguzi ndio hutumbua sasa lete taarifa ifanyiwe kazi otherwise chapa kazi kodi yako inahitajika kwa maendeleo ya watanzania!
Wamemkaba koo katumbuwa vidagaa na watu kanda ya kaskazini wezi wenziwe kanda ya ziwa a nacheka cheki nao cheng tibaijuka dialogue bulembo wanasepa tu
 
kama nia ya mambo yote hayo yametimia kwa ulitaka atumbue kwa miaka mitano hata watu ambao hawana makosa? Au kuna wwenye makosa unawajua hawajatumbuliwa hebu wataje maana yeye hana ajizi ili mradi tu apewe taaria , na hakurupuki mwenzio hufanya uchunguzi ndio hutumbua sasa lete taarifa ifanyiwe kazi otherwise chapa kazi kodi yako inahitajika kwa maendeleo ya watanzania!
Basi uchunguzi anaoufanya ni mbovu mana kuna watu wanaadhibiwa lakini hawana hatia hasa Swala la watumishi hewa,Machinga kuwambia warudi kariakoo itabidi muwape mashine za EFD haiwezekani mimi kama mfanyabiashara naambiwa nitumie mashine halafu Machinga anaepanga biashara yake hadi mlangoni kwangu na kufukuza baadhi ya wateja wangu yeye hatumii mashine..
 
XANAAA NDIYO NINI...USIANDIKE HUMU JF KAMA MNAVYOANDIKA FACEBOOK...

OVA
MAGUFULI ANA AKILI XAANAA. AKITUMBUA TUMBUA NA NYIE MNAANZA KUWATETEA MAFISADI HAO. AKIKAAA KIMYA ETI KASHINDWA . HAAAHAAA MWACHENI AWANYOSHE NYIA MLIOZOEA MADILI HALAFU MNANUNULIWA VIROBAA TU. SASA KAFANYENI KAZI ILIMUONE UGUMU WA FEDHA HIZO
 
Tupo bize tunatembeza bakuli kuchangisha Pesa za maafa. Tulitenga bajeti hewa ya maafa, tetemeko limetuumbua. Tupeni muda tutembeze bakuli. Tukichangisha nyingi tutawaomba wahanga nusu ya Pesa yao tujenge kiwanda ili wafanye kazi wajenge nyumba zao.
Hahaha kama kweli vile
 
Tumevuka lengo la kukusanya mapato mwezi uliopita .... Acheni mzaha

Halafu mnakosa bilioni mbili kwa ajili ya wahanga wa tetemeko
 
MAGUFULI ANA AKILI XAANAA. AKITUMBUA TUMBUA NA NYIE MNAANZA KUWATETEA MAFISADI HAO. AKIKAAA KIMYA ETI KASHINDWA . HAAAHAAA MWACHENI AWANYOSHE NYIA MLIOZOEA MADILI HALAFU MNANUNULIWA VIROBAA TU. SASA KAFANYENI KAZI ILIMUONE UGUMU WA FEDHA HIZO
Tulia wewe pesa tunaendelea kuzibofya.....hujiulizi kwanini mmekamata watumishi hewa but matumizi kwenye mishahara yameongezeka....cc ndo magwijii pesa itaendelea kutafunwaa tu
 
Back
Top Bottom