Upande wa nyumba unapangishwa sinza mori!

Upande wa nyumba unapangishwa sinza mori!

Mkuu kwa mwezi ni laki tisa tu.
Kumbuka ipo Sinza. Huko ndipo alipokuwa anaishi kanumba.

Hahahaha, Kumbe Dili eeh? Ngoja nikamuulize jirani yangu jina lake.
Kuna mtu aliniambia nikanunue nyumba jirani kwake manake madereva wrote we mawaziri wamejenga huko.
 
Hizi ni bei za fremu ya biashara sio nyumba ya kuishi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom