Kwanza kupotea kwa mamaake kuna mahusiano makubwa na tabia zake za sasa...na hilo swala la ngono ni pepo mahaba limemuingia na pepo la uchonganishi pia. ..Naomba kuuliza , ninaishi na mtoto wa dada angu ambaye alipotea miaka mingi hatujui kama yuko hai ama alikufa, ila mwanae anatabia mbaya sanaaaaa anamiaka 16 binti ila anapenda wanaume kupita kiasi. Nimchonganishi kuliko chochote, hakuna anaemtaka wala kumuitaji, baba ake bibi zake pandembili wala majirani sababu tuu ya tabia zake. Yaaani kifupi kuishi nae nikujitwika jukum moja kubwa sanaaa. Point ni kwamba nilitaka kwenda kwa mganga nimuulizie tatizo ninini mbona yupo hivyo?. Je! Ntakua nimejiingiza katika ushilikina? Coz sijawahi fanya kituhicho nina 30 na nimeolewa , msaada wako mshana pleasss
Ndio Mi nnavyo faham sister ukijihusisha tu na mambo ya waganga tayari we ni mshirikina.Naomba kuuliza , ninaishi na mtoto wa dada angu ambaye alipotea miaka mingi hatujui kama yuko hai ama alikufa, ila mwanae anatabia mbaya sanaaaaa anamiaka 16 binti ila anapenda wanaume kupita kiasi. Nimchonganishi kuliko chochote, hakuna anaemtaka wala kumuitaji, baba ake bibi zake pandembili wala majirani sababu tuu ya tabia zake. Yaaani kifupi kuishi nae nikujitwika jukum moja kubwa sanaaa. Point ni kwamba nilitaka kwenda kwa mganga nimuulizie tatizo ninini mbona yupo hivyo?. Je! Ntakua nimejiingiza katika ushilikina? Coz sijawahi fanya kituhicho nina 30 na nimeolewa , msaada wako mshana pleasss
Kiongozi duh nitakuua mwaka huu samahani natoka kidogo ktk mada ila inauhusiano na haya ya upagani.kuna mtu siku moja ktk maongezi alisema alienda india kwa duka la sonara akataka peta ya dhahabu yule kuhindi akamuuliza siku na mwezi wa kuzaliwa alipomtajia akamkataza maisha yake yote kuvaa dhahabu badala yake akamshauri kuvaa silver . Alipomuuliza akamwambia watu hawajui lakini si vzr kuvaa vito usivyojua kama vinakuletea mkosi kwako au baraka.wengine huvaa cheni zenye mawe au madini kumve huvaa mikosi. Kila mtu ana kitu ambacho kwake ni baraka na vingine mikosi.Dunia ina mengi mpagan naye atakushangaa kwa kile unachoamini
Katika hizo imani za kipagan kuna
1.za kuzaliwa nazo
2. Za kuja kubadilika ukubwani
3. Za kuiga na kufuata mkumbo
4.kutokana na mazingira
5.maslahi kama utajiri ndoa elimu na vyeo
Iron Lady haya mambo mengine ni mapokeo tamaduni mila na desturi.. Kwa imani yako ya sasa angalia kitu fulani inasemaje... Wahindi ni waabudu miungu kwahiyo wana hayo mambo kwa Sana tuu....Kiongozi duh nitakuua mwaka huu samahani natoka kidogo ktk mada ila inauhusiano na haya ya upagani.kuna mtu siku moja ktk maongezi alisema alienda india kwa duka la sonara akataka peta ya dhahabu yule kuhindi akamuuliza siku na mwezi wa kuzaliwa alipomtajia akamkataza maisha yake yote kuvaa dhahabu badala yake akamshauri kuvaa silver . Alipomuuliza akamwambia watu hawajui lakini si vzr kuvaa vito usivyojua kama vinakuletea mkosi kwako au baraka.wengine huvaa cheni zenye mawe au madini kumve huvaa mikosi. Kila mtu ana kitu ambacho kwake ni baraka na vingine mikosi.
Speaking of that nikaanza kusearch for that particular knowledge ila nimepata ugumu hivyo vito vina majina magumu n mostly havijulikani ikiwa unayo chart inayoonesha au hata link ktk akiba yako library utueleweshe kipi ni laana na mkosi kwa nani tubadilishane mawazo juku na kimi nikiendelea kutafutatafuta.
Toka siku hiyo nikawa muoga sana kuvaa madude ovyo. Umeona cheni imewekewa urembo au nawe ya rangirangi nitaitazama na kuiacha hapohapo.
Ndio kuna baadhi ni wapagani tangu kuzaliwa hajui chochote kuhusu kanisa wala msikiti wala Mungu mkuuMkuu ongezea nyama kwenye hayo makundi!
Inawezekana vipi mtu kazaliwa na upagani ?
Hayo mengine yanawezekana lakini hili la kuzaliwa nao umeniacha njia panda!
Unataka kusema hata Uchawi wengine ni wakuzaliwa nao?