Uozo wa Phd Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uozo wa Phd Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmakonde, Dec 26, 2010.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wafuatao wana vyeti feki vinavyoitia aibu Serikali na nchi kwa ujumla:
  (1) Salmin Amour – Ph.D yake ni feki, ya kisiasa. Aliipata Ujerumani Mashariki enzi hizo kwa miezi mitatu tu huku akiwa na cheti cha form four tu!
  (2) Pius Ng’wandu – Ph.D yake ni feki. Chuo anachodai kusoma cha Stanford, Marekani hakina kumbukumbu zake. Aliosoma nao huko Marekani, akina Prof. Baregu, wanajua kuwa ana Masters tu!
  (3) Mary Nagu – Ph.D yaje ni ya kununua kwenye mtandao.
  (4) Emmanuel Nchimbi – Ph.D yake ya uchumi ni ya kununua. Hana uelewa wowote wa economics kichwani mwake.
  (5) Makongoro Mahanga – Ph..D yake ya ugavi ni ya kununua kama Nchimbi.
  (6) Didas Masaburi – Ph.D yake ilinunuliwa pamoja na ya kaka yake Makongoro.
  (7) Norman Sigallah – Ph.D yake ni ya kununua kwenye mtandao.
  (8) Mafwenga – Ph.D yake sawa na ya Sigallah
  (9) Nangale – Ph.D yake ni kutoka chuo kimoja bomu cha chini ya viwango, London .
  (10) Mathayo David – Ph.D ya kujipachika.
  (11) Mutamwega – Ph.D yake ni feki, ya kununua. Mhusika hawezi kuandika hata sentensi moja sahihi ya Kiingereza.
  (12) Lukuvi – Masters yake ni feki. Kaipata akiwa na sifa za elimu ya darasa la saba na cheti cha ualimu, class C..
  (13) Samuel Chitalilo – Vyeti vyake vya elimu ya juu toka Uganda vyote ni feki. Ana kesi ya kujibu mahakamani!
  Nimepata taarifa mbalimbali kuhusu vyeti vya Wabunge wafuatao:
  Sigonda,
  Capt.Komba,
  Omari Mzeru na Savelina Mwijage.
  Nazifanyia kazi. Nitazianika hapa muda muafaka!
  Ijabu Ijabu kanipa hamasa sana juu ya suala hili. Wote aliowaeleza kweli wana vyeti feki na hata ukiongea nao, ni vihiyo vihiyo wa kutupwa! Naomba niongeze majina mengine kwenye listi la Mhe. Diodorus Buberwa Kamala, Mbunge wa Mkenge na Waziri wa A. Mashariki. Huyu bwana kasoma Mzumbe kama Nchimbi ambako mtandao wa vyeti feki ulianzia na Mkuu wa Chuo hicho Bw. Warioba. Ph.D yake ni feki, ni ya kununua kama hizo za wenzake aliowataja Ijabu.
  Hata kwenye Bunge la A. Mashariki tunaambiwa anapwaya ile mbaya. Naibu wake, Mohamed Aboud, yeye ndo balaa maana ni form four failure na CV yake inasema uongo kuwa ana diploma ya Uingereza! Wote ni Ze Komedi mbele ya Wakenya, Waganda, Warwanda na Warundi!
  Yupo huyu mama wa Kibaha, Zaibab Gama. Anajiita Dk. wakati ana diploma ya radiology tu!
  Kuhusu Mbunge Savelina Mwijage (Viti Maalum, Kagera), huyu ana matatizo makubwa maana anatumia jina la marehemu. Taarifa zote zilitoka gazetini, lakini analindwa. Hawezi hata kuandika jina lake, lakini ni Mbunge. Anayebisha aje na ushahidi maana huyu mama namfahamu miaka mingi akiwa mfanyakazi wa ndani wa Mhindi Bukoba.
  Namfahamu sana Mbunge Sigonda. Ni mtu wa usalama wa Taifa aliyeishia darasa la nane. Leo naambiwa ni Dk.! Hebu tupe dataz Ijabu na wana JF wengine.
  Capt. Komba yeye ni msanii na mwizi asiyestahili kujadiliwa hapa maana anawaibia hata wasanii wenzake dani ya TOT. Mzeru wa Morogoro yeye ni mafix moja kwa moja. Hana udaktari wowote! Alijipachika udaktari kuombea ubunge na unaibu waziri kwa JK ! Agustino Lyatonga Mrema – Pacific Western University , a diploma mill. Yeye alipoenda kuchukua hiyo “degree” alikwenda na matarumbeta kibao, vifijo na nderemo.
  Mustafa Mkullo – Almeda University , a diploma mill. Kule youngafrican. com nakumbuka ilisema eti chuo chake kiliwahi kutoa associate degree kwa mbwa anayeitwa “Wally” mali ya mwandishi mmoja wa habari huko Marekani (In 2004 the CBS affiliate in Albany , New York , ran a report on Almeda that featured Peter Brancato, who had filled out an application for an associate degree on behalf of his dog, Wally.
  Part of the “life experience” listed on the application was “Plays with the kids every day … teaches them to interact better with each other … Teaches them responsibilities like feeding the dog.” Almeda granted Wally an associate’s degree in childhood development with a course list including European culture, college algebra, American history, and public speaking.[13] In reply, Almeda claims Brancato perjured himself by creating a false identity using a fabricated name and date of birth.
  They write, “He completed an application that included a background of the following: Eight-years tutoring pre-K children, curriculum design and development, teaching coping skills, and volunteer coaching.”" Almeda University – Wikipedia, the free encyclopedia Kama sijakosea waheshimiwa wengi sana wana degrees kutoka chuo cha Washington International -
  I think even Sofia Simba anayo ya huko Yona Fares Maro Master of Science in Computer Science and Information Systems (MS) University of Michigan-Flint
  Thank You
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Duuuh!!!!!!!
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Naona hawa jamaa wanataka kushindana na mkuu(DR MARA 5)
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Msemakweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii???????????????????????????
   
 5. N

  Nancy Tweed Senior Member

  #5
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wasomi wetu hao...., hao ndiyo watu waliosoma
   
 6. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Duuu ndio wanatubuluzia nchi yetu hao na ukishoka wao!
   
 7. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280

  Excellent, i agree with u, like this Aboud he is f4 failure, wapo f4 failure wengi bungeni,
  hizo PhD za kununua like maandazi, why our UDSM isichukue hatua kwa hawa mabwana?
  UDSM must act to see if they deserve & announce publicly these are fake PhD without worrying anybody, ili mtu akisomea PhD nje lazima chuo kiwe accredited by that country,
  then mtu akija TZ lazima UDSM ithibitishe. We can see no dought how these fake vihiyo Dr poor performance, every sector, then they are MPs, this is horrible, terrible poor
  leaders, hata uwaweke fani wanayodai waliyosomea performance inawasuta, totally
  vihiyos, a best thing tunawajua, so ukiongea na MP or Dr yeyote unajua huyu nani,
  na utaona akijikanyaga, all those u mentioned no one has sign of intellectuals, poor mind
   
 8. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ndio maana wakija waliowapa phd hizo kuomba madini yetu wanagawa tuuuuuu ili wasijefichuliwa siri zao kama watabisha.
   
 9. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Na nyingi za iana hiyo ziko kiwandani, karibu zitapakuliwa! Wenyewe hata hawaoni aibu kujipachika kitu wasichofanana nacho! na Vyombo vyetu vya upelelezi vimekauka kau!
   
 10. Wayne

  Wayne JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2010
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 663
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tangu lini UDSM imekuwa inatoa-accreditation? Ahh ....... ????!!!!!
   
 11. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #11
  Dec 27, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,565
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  Mtoa maada ebu jaribu ku-browse thread za miaka iliyopita hayo majina siyo mageni wala siyo ya kwanza. Ila kuna majina ya walioonewa au kutojua kwa mtoa taarifa. itakuwa si haki kuyaweka tena.

  Rudia ujue tatizo ni nini, tangu tumesema nini kilifanyika,

  Yaani ufikie wakati unaposema kitu siyo kina kuwa NEWS ila kinakuwa issue, kwa TANZANIA PHD feki siyo issue no one cares! I mean hata wale wenye PhD clean kama 'mimi' Tanzania haiwathamini kabisa, hatuko kwenye dunia ya reserach na PhD is all about research.


  go to the basics!
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  na wewe vipi?
  yako ni genuine au?
   
 13. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #13
  Dec 27, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Hii ndiyo shida ya Africans sina shida hata kama masters in ya miezi mitatu ila iwe kweli umeifanyia kazi.

  sasa kama hata kiongozi hawezi kuongea kiingereza tena ana PHd jamani tujiulize..

  Mifumo ya elimu ya nje na ya hapa bongo ni tofauti sana nina rafiki zangu wawili wamesoma india na Malaysia na wana degree wamekuja bongo wakaenda necta kupata vyeti vyao viwe certified wameshafanya mitihani mara mbili sasa wanafeli. sasa sijui nini shida..

  Ila kwa hawa viongozi kweli baada ya katiba kubadilishwa iundwe tume ya kupitia vyeti vya viongozi wa serikali. na tukifuata mfumo wa kenya ambapo huwi balozi, waziri au hata katibu wa wizara hadi ujadiliwe na bunge. hii itawafanya viongozi wengi wajiangalie vizuri vyeti vyao..
   
 14. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Sikujua kama huyu mama ni radiology technician (tena si radiologist au radiology technologist), jamani watu mnaofanya kazi kwenye mambo ya afya jiiteni madaktari pale mnapostahili... Wenzenu wanateseka sana mpaka kuja kupata sifa hizo... Sasa wewe diploma ya radiology (maximum miaka mitatu), ambayo mara nyingi unakuwa umeingia na cheti cha form four au six failure tayari wajiita daktari!!! Hata mwili wako mwenyewe huujui zaidi ya hizo ABC za mionzi. Kuna kazi kwelikweli.
   
 15. fanson

  fanson Senior Member

  #15
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 181
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mmmh mmh hii sasa ni kali11!
   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Dec 27, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,565
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  We have to look this matter from early education, inavyoonekana tatizo linanzia kuanzia ngazi za chini na ukubwani ni manifestation tu!
   
 17. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #17
  Dec 27, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,565
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280

  nimeandika 'mimi' you need to know what does that means, sina PhD kwa hali ilivyo kila mtu anaweza kuwa na PhD nji hii!! na kila mtu anasema yake 'clean' who is authorised to identify this one is clean and this is not genuine? who are they? where are they? do they qualify for this assignment? Ukijiridhisha na majibu then take your time tumeongea mpaka kuandika papers lakini wapi..hamna nchi hamna system, watu wako wako tu.
   
 18. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #18
  Dec 27, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani hili jambo si kwa hao waliotajwa tu. Ukifuatilia kwenye taasisi nyingi utakuta hili tatizo la vyeti feki lilivyokuwa kubwa. Cha kushangaza ni vyuo tu ndio vimeweza kufuatilia wakati wa kusajili watu hakuna taasisi iliyoweza kuhakiki wafanyakazi wake. Kwa sababu boss wa hapo anashindwa huenda na yeye hivyo hivyo. Kuna yule kaka Msema Kweli alifikishwa mahakani na baadhi ya aliowataja lakini mbona hatusikii muendelezo wa kesi yake. Na kati yao hawakuthubutu hata kumfungulia mashtaka. Hii inaonyesha kuwa ukweli wa aliyoyasema ulikua mkubwa kuliko uongo. Tushirikiane kupigia kelele jambo hili kwani wasio na vyeti sahihi wanalifikisha taifa pabaya. Ingekuwa kupata Phd na masters ni rahisi hivyo jamani si kila mtu angepewa ili tanzania nzima iwe na madaktari.

  Hawa wenye vyeti feki wanawanyima wenye vyeti halali ajira stahili.
   
 19. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,897
  Likes Received: 1,002
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nilikuwa najiuliza, maana kuna jamaa mmoja alisha wahi toa orodha. Na wale waliokuwa kwenye orodha wakatishia kwenda mahakamani. Sasa tangu hapo sija sikia tena nini kilifuata.
   
 20. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #20
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Umesahau phd ya gedrude rwakatare nayo ni feki!!!!!

  Wabunge wengi wa ccm wamejikuta na phd feki lakini hakuna hatua zinazo chukuliwa
   
Loading...