Uozo mwingine wa Serikali ya Kikwete huu hapa...

Uozo mwingine wa Serikali ya Kikwete huu hapa...

Watanzania tuna malalamiko ya ajabu sometimes... Sasa hiyo $ 2 unayojaza unajaza kwenye mitandao ya Tanzania??
Mi nnadhani kwahili serikali tunaionea yaani kikwete ilitakiwa aratibu bei ya call from US to UG??
Kwan huo mtandao unaotumia unalipa kodi kwa serikali ya Kikwete??
Labda mi Sijui... Ivii anayepanga bei ya call from US to TZ ni serikali yetu au huo mtandao wa huko... Sielewielewi... As a great thinker nna imani umekurupuka!
 
Weye bwanamkubwa hebu kuwa unafanya homework kabla haujawambia wengine hawafanyi yao. Moja ya kitu kinacho fanya kuwa gharama sana kupiga simu home ni nyie huko mnabeba mabox na kutoingia ubia na hao watu wa mambo ya mtandao wa mawasiliano wanazania watanzania mpo wachache sana ndo maana hawafikirii kushusha bei wanadhani watapata hasara. Watu wengine kama waindi wapo kibao huko na wanakula sambamba na watu wa mambo ya mawasiliano ndo maana kupiga kwao ni cheap. Nakushauri wacha kubeba box na join telcom world kama unataka magauzo uwajulishe kunanchi inaitwa tanzania na wambie wabeba mabox wangapi wapo huko mnaweza mkaelewana biashara na kunufaika. Vinginevyo wee endelea kutaabika tuu. Sasa wewe upo huko unatakiwa uwakilishe nchi yako badala yake unailalamikia daa. sasa si nibora tungepeleka mbuzi huko ale majani wee alafu Xmass tumrudishe akiwa amenepa ma maGM Food tule. He hee natania mkuu, cha msingi kaza mkanda ongea na hao watu watelecoms wambie tuu wabongo mpo wengi huko wawapunguzie bei au mtatumia Skype tuu.

Mkuu unataka kuniambia wenzetu Uganda na Kenya wabeba box wao wamewekeza kwenye hiyo mitandao?? Je hiyo ndio sababu pekee ya gharama kubwa kupiga simu Tanzania?

Watu wanapendekeza Skype.. lakini hata wao ni expensive kuliko hata baadhi ya mitandao..

Kwa mfano,
moja ya mitandao iliyoko UK, wanaitwa Lebara, wanatoza gharama za chini kiasi..

Wanapatikana hapa:
Pay As You Go Tariffs | International Call Rates | Lebara Mobile (Makisio 1 GBP ~ 2400Tsh)

Kupiga Tanzania ni 15p/min ~ 360Tsh/min

Kupiga Kenya ni kama 10p/min ~ 240 Tsh/min

Uganda ni kam 10p/min ~ 240



Skype Free Skype calls and cheap calls to phones - Skype
kupiga Tanzania ni kama 20.9p/min ~ 500Tsh/min

Kupiga Kenya 16.3p/min ~ 390 Tsh/min
Kupiga Uganda 10.9p/min ~ 260 Tsh/min


Sasa Ukilinganisha na wenzetu wa East Africa, sisi watanzania tuna matatizo gani? Tatizo liko wapi?..

Kwa nini gharama ziwe kubwa kiasi hiki kwa walio nchi kama ya UK kupiga simu kuelekea huku kwetu TZ,
Ni kwa sababu Uganda wana MTN au nini?
 
sio hilo la simu tu kudhihirisha uozo wa serikali yetu.
mambo ya bei za bidhaa pia huwa zinashangaza sana, ziko juu sana Tz kuliko nchi nyinginezo.
mimi nitatoa mfano mmoja, soda za makopo na juice za mabox, bei zake ziko inflated ile mbaya.
kwa mfano bei ya kopo moja la diet pepsi ni kati ya tshs 900 hadi >1200, wakati bei ya dukani katika nchi za gulf ambazo
wafanya biashara wengi wa TZ ndiko wanako chukua ni riyali moja na nusu (bei ya dukani) ambazo ukiweka
katika tshs ni 600 tu sasa unashangaa bei kubwa hivi kulikoni????
Huo ni mfano mmoja tu, mifano ya bidhaa iko mingi, bei ziko juu sana bongo ukilinganisha na nchi zingine za afrika na zile
zilizoendelea.
nimegundua mtu anatumia pesa nyingi kuishi bongo kuliko akiwa uganda au kenya etc
 
Du,kweli ni gharama rafiki,nadhani wahusika wanapaswa kuchukua hatua.
 
hata wewe saint ivuga una majungu
kazi kweli
kweli dunia tambala bovu, sasa mlitaka asemeje yeye huyo IRNGA na hakitaka kupiga simu
kutoka USA ni ghalama sana?
au mnafahamiani

Acha udwanzi na wewe rekebisha lugha yako !!:A S 103::A S 103::A S 103:
 
Back
Top Bottom