Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 11,269
- 14,093
Waliwaambia AS Vita kwamba Simba inapuliza dawa vyumba vya uwanjani hadi wakavalia jezi nje ya vyumba na wakafungwa vilevile.Yang wanafanya misinformation za kufa MTU tangu mwaka juzi iliwachanganya hadi as vita,platinum wamekuwa wastaarabu wamepongeza simba kwenye website yao ingawa walirukia madirishani
Hawa jamaa badala ya kucheza mpira ili wafike hapo walipofika Namungo, wanaishia kufanya propaganda chafu dhidi ya Simba.
Mechi zote nne ambazo zimeifanya Simba kufuzu makundi ya Club Bingwa Afrika zimechezwa wazi kabisa.
Hadi wale Plateu ya Nigeria baada ya mpira walikumbatiana na wachezaji wa Simba na Wakasali kwa upendo kabisa kumaanisha wamecheza katika mahusiano mazuri.
Yanga kazi yao ni kuwapokea Uwanja wandege wapinzani wa Simba, kupiga domo tu basi.
Mpira umewashinda.