Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,160
- 829,111
Huku kwangu imegoma kufunguka. Huyu dogo Maxence Melo sijui anafel wapi aisee ....
Tusimlaumu bali tumpongeze na kumpa maua yake... Kuendesha platform kama hii kwa mafanikio Matunda sio jambo jepesi hata kidogoHuku kwangu imegoma kufunguka. Huyu dogo Maxence Melo sijui anafel wapi aisee ....
Anatakiwa aifanye hii app iwe ya kisasa sana. Huyu jamaa daah ,...mambo yake ya taratibu sana!
Cause yeye ndiye hutufanya tu move , tuishi na tuwe na makazi/vitu.Uongozi unaweza usigombanie na ukawa kiongozi...
Uongozi unatoka kwa Mungu...
Au sio!Tusimlaumu bali tumpongeze na kumpa maua yake... Kuendesha platform kama hii kwa mafanikio Matunda sio jambo jepesi hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother trust me.. Anafanya the bestAu sio!
Lakini anatakiwa akaze. Asikae kizembe. Mimi bado sijaridhika na namna inavyoonekana. Haina Updates za kutosha.
Ilitakiwa kila mwezi , aongeze kionjo kama zifanyavyo apps zingine kama WhatsApp, Twitter.,..you know warramsaying?
Mimi naona kama anatumia akili zake kidogo sana kwakua labda yupo Bongo.
Maisha ya bongo wote tunayajua.. Hasa ukionekana una kitu tofauti na cha ziada kuwazidiMimi naona kama anatumia akili zake kidogo sana kwakua labda yupo Bongo.
Kiufupi, namfahamu jamaa vyema... Yuko poa sana kichwani...bingwa kabisa ....mwamba.......sijui amekuaje siku hizi.
Hii App ilitakiwa iwe mbali sana. Huu sio UWEZO wake ninaoujua Mimi. This nigga Maxence Melo is a GOAT. Sa sijui kalidhika na nini .....
Kapigwa spana au sio?Maisha ya bongo wote tunayajua.. Hasa ukionekana una kitu tofauti na cha ziada kuwazidi
Sent using Jamii Forums mobile app




Hapana hakuna niliposema hivyo kwenye reply yanguKapigwa spana au sio?
Au kabinywa korodani![]()
Au sio