Uongozi feki wa udom na ubanifu ktk kutoa vyeti kwa wahitimu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongozi feki wa udom na ubanifu ktk kutoa vyeti kwa wahitimu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MCHUMIPESA, Jun 7, 2012.

 1. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni takribani wiki moja sasa tangu zoezi la ufuatiliaji wa kugawa vyeti kwa wahitimu wa mwaka jana Katika chuo kikuu cha Dodoma kufika bila ya mafanikio yeyote!!.Sababu kuu ni ETI WANADAIWA ADA NA CHUO KISA BODI YA MKOPO YA ELIMU YA JUU(HESLB)HAIJALIPIA HIZO ADA AMBAZO WAMEINGIA MKATABA NAZO HAO WANAFUNZI NA PIA WAMEAMBIWA KUFANYA CLEARANCE ILHALI WALIFANYA MWAKA JANA KABLA YA KUONDOKA CHUONI HAPO.Cha kushangaza weng wao wamechoma nauli zao na wamebajeti kati ya siku 3 wangelikuwa wamerudi mahome.HASARA WALIOIPATA HAPATA NI KUWA HAWAPATA FURSA YA KUAPPLY katika nafasi za kazi zilizotangazwa na tume ya ajira maana hadi sasa wanazungushwa tu na uongoz wa chuo uliojaa ubabaishaji wa hali ya juu.Tatizo siyo wanafunz bali ni uongozi.MY TAKE WAZIRI WA ELIMU MHE.SHUKURU KAWA MBWA AWAJIBIKE MOJA KWA MOJA NA HILI JANGA AU ATOE MSIMAMO WAKE JUU YA MADUDU HAYA KTK WIZARA YA ELIMU.Karibuni kutoa maoni yenu.Source:mimi mwenyewe nashuhudia.
   
 2. UMOJA WETU

  UMOJA WETU Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  HADHA MIN FADHIL RHABI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:confused2:
   
 3. K

  KARLMARX. Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dawa ni maandamano tuuuuuuuuuuuuuuu. serikali yetu ni sikivu sana inapoambiwa kwa lugha ya maandamano. kwani kabeho ameenda wapi? haitakaa itokee uletewe haki yako kwenye sahani. kueni radical au hamkufundishwa hiyo?
   
Loading...