Uongo wa Wanasiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongo wa Wanasiasa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Konaball, Oct 29, 2009.

 1. K

  Konaball JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,776
  Likes Received: 465
  Trophy Points: 180
  Wanasiasa 40 walipata ajali mbaya sana porini,na baada ya ajali hiyo alitokea mkulima mmoja na alipoona hivyo alichimba shimo kubwa na kuwazika wote kwa pamoja.
  Baadaye polisi walikuja eneo la tukio na kumkuta huyo mkulima na kuanza kumhoji kuhusiana na ajali hiyo pamoja na maiti.[FONT=Lucida
 Console]
  na mahojiano yalikuwa hivi:-

  Polisi :- Uliona ajali jinsi ilivyotokea?[FONT=Lucida
 Console]
  [/FONT]
  Mkulima :- Hapana, nilikuta imeshatokea na maiti zimezagaa..
  Polisi :- Zipo wapi maiti?
  Mkulima :- Nimezizika
  Polisi :- Una uhakika wote walikua wamekufa?
  Mkulima :- Kuna wengine walikuwa wanalalamika kwamba hawajafa lakini si unajua wanasiasa walivyo waongo!!![​IMG]mi nikajua tu wanadanganya nikawazika wote.... [​IMG][FONT=Lucida

 Console][/FONT]

  [/FONT]​
   
 2. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2009
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  nimevunjika mbavu, japo nilishaisoma siku za nyuma bado ipo live
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  mmhhhh...........kaka hapo patamu kweli siasa ni mchezo mchafu na wa uongo...
   
 4. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Too bad ninety percent of the politicians give the other ten percent a bad reputation. Henry Kissinger Politicians are the same all over. They promise to build a bridge where there is no river. Nikita Khrushchev
   
 5. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2009
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Makamba na Their team wameipata hiyo
   
 6. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  thanx! U'v made ma day!
   
Loading...