Uongo wa Pinda unavyoligharimu Taifa

Uongo wa Pinda unavyoligharimu Taifa

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Posts
4,879
Reaction score
1,134
Kwa kweli pinda ametutia aibu sana.tz ni taifa kubwa sana kuomba kusuluhishwa kwenye mgogoro na nchi ndogo kama Rwanda.

Kama tungekuwa tumekosea ingeingia akilini lkn hadi sasa sisi hatuna kosa lolote.Serikali imeshikilia msimamo wake kuwa Rwanda ikae na waasi.Kama huo ni msimamo wa serikali upatanishi unatoka wapi?

Taarifa mpya inazua maswali kuhusuni wapi hasa waziri mkuu Pinda alipata maelezo hayo ya kwamba rais Kikwete aliomba usuluhishi huo.
Tunadhani kauli ya Pinda inaakisi upungufu wake katika ulimwengu wa diplomasia.

Taarifa ile ilidakwa na vyombo vya kimataifa,dunia sasa inatuona kama wakosaji maana waziri mkuu ameonesha kuwa sisi tunataka kupatanishwa.
 
Hii sekenke imeshaanza na sijui inaishaje.
Swali la Kipima Joto: Umakini wa viongozi, kukosekana kwake, nani wa kulaumiwa?
Tuma maoni yako bila jazba
 
Kagame anatisha kama radi. Jk na watu wanaweweseka. He was trained in tz but now he is a big threat wordwide. Mpaka us wanamuogopa sembuse tz. Pinda sio kwamba kakurupuka,jk anaomba upatanishi mwenyewe
 
kama ni kweli basi jk ana mbinu za kutaka kupanda ndege!!!na upatanishi wenyewe ataomba ufanyike honolulu,hawaii
 
kama ni kweli basi jk ana mbinu za kutaka kupanda ndege!!!na upatanishi wenyewe ataomba ufanyike honolulu,hawaii
Yule waziri mkuu hana akili na wala hana msimamo unawezaje kupatanishwa na mtu ambaye hamkugombana?au wanagombania malaya fulani nini maana wote Kagame,Pinda na Jk ni watu wa vicheche tu!!Usikute tunapigwa changa la macho kumbe Kagame katafuniwa mke wake sisi tunadhani ni mambo ya kidiplomasia
 
Jaman godbles lema hajapona? angetusaidia sana kwenye hili kwani alishatuambia kuwa waziri mkuu ni mwongo kuliko shetani.
 
Jaman godbles lema hajapona? angetusaidia sana kwenye hili kwani alishatuambia kuwa waziri mkuu ni mwongo kuliko shetani.

​Ukizoea kusema uongo huna mipaka. Bwana mkubwa alidhani yupo nyumbani kumlaghai mama yeyo
 
yule mzee yupo kwenye dozi jamani Arv's si mchezo zinakoroga vichwa.
 
USA wamuogope? Wanaweza kumpiga huku wamekaa kwao USA wanakunywa kahawa.

drone_1898982b.jpg


moab1.jpg
BGM-109%20Tomahawk%20SLCM%2015FEB81%20PMTC%20DF-SC-83-10964.jpg
Tomahawk.

Kasome kwa nini MOAB ilipewa jina la Mother Off All Bombs, ndiyo ujuwe kutisha kwa Kagame kunaishia wapi.
Kagame anatisha kama radi. Jk na watu wanaweweseka. He was trained in tz but now he is a big threat wordwide. Mpaka us wanamuogopa sembuse tz. Pinda sio kwamba kakurupuka,jk anaomba upatanishi mwenyewe
 
Mi nilitaka aseme Rwanda wapigwe....kumbe anaomba wapatanishwe duh....
Jamaa anapenda kulia huyo...
 
Kwa kweli pinda ametutia aibu sana.tz ni taifa kubwa sana kuomba kusuluhishwa kwenye mgogoro na nchi ndogo kama rwanda.kama tungekuwa tumekosea ingeingia akilini lkn hadi sasa ss hatuna kosa lolote.serikali imeshikilia msimamo wake kuwa rwanda ikae na waasi.kama huo ni msimamo wa serikali upatanishi unatoka wapi?
taarifa mpya inazua maswali kuhusuni wapi hasa waziri mkuu pinda alipata maelezo hayo ya kwamba rais kikwete aliomba usuluhishi huo.
tunadhani kauli ya pinda inaakisi upungufu wake katika ulimwengu wa diplomasia.
taarifa ile ilidakwa na vyombo vya kimataifa.dunia sasa inatuona kama wakosaji maana waziri mkuu ameonyesha kuwa sisi tunataka kupatanishwa.

Siamini kama watanzania wana matatizo ya uelewa kiasi hiki. Pinda hajasema kuwa Tanzania imeomba ipatanishwe mgogoro wake na Rwanda. Alichosema Pinda ni kuwa Tanzania imeongea na Rais Yuweri Moseveni wa Uganda ili amshauri Kagame akubali kukutana na FDLR kwa lengo la kuzungumza ili wamalize tofauti zao.
 
We lusewa kumbe na wewe umeshaambukizwa ugonjwa wa lumumba wa kijani kibichi cha mpilipili aka uongonist +ufisadination?
mbona pinda alipindisha mchana kweupe na clip tunazo?
 
Mi nilitaka aseme Rwanda wapigwe....kumbe anaomba wapatanishwe duh....
Jamaa anapenda kulia huyo...

Kwa majirani anasema wapatanishwe kwa watanzania wenzake anasema wapigwe tu. Pinda ni janga la kitaifa.
 
Sugu, Lema hawakukosea kuhusu huyu mzee, km kiongozi analia unafiki bungeni tena hadharani unategemea akili yake iko sawa? Ameongopa mengi tazama la uuzwaji wa mashamba kule Rukwa kwa Waamerika alikana kuhusika. Hawa watu wanatutia aibu km inchi. Tatizo la serikali ya tanzania haina msemaji kila mtu mropokaji.
 
Kagame ni threat kwa wahutu na sio dunia, vita alivyowai kushinda ni zidi ya wahutu tu na hajawai kupigana na taifa jingine wazi wazi. Kitu anachotuhumiwa DRC cha kuwapa msada M23 nchi nyingi zinafanya hivyo na kila nchi inauwazo wa kufanya hivyo. Wala yeye sio wakwanza kusema alifikiri sana ilo, bali alicopy na kupesti.
 
Back
Top Bottom