mhindijohn
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 469
- 71
Chadema inazidi kuwa na wakati mgumu sana kisiasa...
zaidi sisiemu! Hasa miaka hii michache iliyobakia
Chadema inazidi kuwa na wakati mgumu sana kisiasa...
funguka vizuri mkuu! ninavyofahamu vitu kama kadi zinatengenezwa na kwa Batch kulingana na oder ya anayetaka hizo kadi. Sasa wewe imekuwaje kama printer unapatana na mtu mwingine kuhusu ku - duplicate kazi ya mteja mwingine.Hiyo ni kweli kabisa kwasababu viongozi wa ccm walikuja ofisini kwangu wakanipa deal ya kuprint card 200 za CDM lakini Bahati mbaya nilikuwa nimebakiwa na material ya card 100 tu
Waanataka "SERA"???????Watu wa Geita wamechoka kufundishwa kutukana na kuandamana wanataka sera.
Kinyume chake basi kama hujuiChadema inazidi kuwa na wakati mgumu sana kisiasa...
Wamesema tangu wajiunge na chadema hawajaona cha maana zaidi ya kuhamasishwa kutukana viongozi na kuandamana. Wanachama hao ambao wengi wao ni vijana Wamepokelewa na kupewa kadi za ccm mwenyekiti wa wazazi taifa abdallah bulembo. My take...... Video ya lwakatare inaanza kukitafuna chadema source habari star tv
Watu wa Geita wamechoka kufundishwa kutukana na kuandamana wanataka sera.
Leo nimeshangaa kuona kadi
za CHADEMA mpya tu ndo zinarudishwa alafu zote na inasemekana watu hao
wamejifika gamba.
Nilichopenda kwa watu hao walio jivika gamba ni utunzaji
uliotukuka.
acha mizengwe.mbona unakua bogus kiac hicho.Watu wa Geita wamechoka kufundishwa kutukana na kuandamana wanataka sera.
Huu ni usanii ulio pitiliza,mbona kadi zenyewe ni mpya sana? Ukizikunja zinajikunjua zenyewe? Mnatia aibu na kichefuchefu,naona sasa hata uwezo wenu wa kudanganya umepungua.
Itv
Makamanda wanatema matusi Kama watoto WA mbw...... Vile
hakuna kiongozi wa ccm anayeweza kufanya huo ujinga..nyie tulieni tu mdungwe sindano
siku hizi kurudisha kadi ndo propaganda na siasa za ccm. Hiyo inathibitisha wanachama wengi waliwakimbia so wanaota wamerudi. ni kama maigizo, wanapeana kadi halafu wanasema act wewe ni chadema unarudisha kadi. huu ni upumbavu. ccm wanajivunia kurudisha kadi kwani kimekua chama kipya?. mia
Hiyo ni kweli kabisa kwasababu viongozi wa ccm walikuja ofisini kwangu wakanipa deal ya kuprint card 200 za CDM lakini Bahati mbaya nilikuwa nimebakiwa na material ya card 100 tu