Uongo usio na lazima wakina dada

Uongo usio na lazima wakina dada

KWESHAFI

Senior Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
102
Reaction score
50
Habari JF, mwanamke anakuwa na tabia ya kukudanganya countinously, isitoshe mambo mengine unagundua angekuambia ukweli kusingekuwa na athar zaidi ya kukufanya uwe na aman, sielewi kama ni athar za malezi ama nini, naomba wenye uzoefu wanielmishe, kejeli hapa siyo mahala pake.
 
ujinga wa wadada...plus marafiki ongezea na malezi pia na tamaaaaa ndo maana haiwezi pita cku bila mdada kuongopa...its bored
 
Nadhani ni tabia tu ya mtu au inawezeikana na wewe ni mtata sasa anahisi kuna vitu akikwambia kweli utam-mind...

Hata mimi am a bad liar yaani tunaweza kukutana njiani naenda dukani kwa Mangi lakini ukiniuliza naenda wapi naweza nikakwambia naenda Nakumatt,its terrible!
 
Ni kweli, kuna wakati nilikutana situation kama hyo. Nilikua nadanganywa sana bibie. Yani uongo ilikua ni kama sehemu ya mapenzi yetu. Na alikua anajiskia raha anaponiokota.

Kwa vile niliku nimekomaa nikaanza mpuuzia na kutotake serious upuuzi wake.

Mambo yalipokua yanamuharibikia kutokana na uongo wake nilimpuuzia pia na kumuacha avune dhambi yake ya uongo.

Alijirekebisha mwenyewe.

Mpaka sasa nala nae bata na kamwe hajaribu nidanganya tena koz anaelewa ntamnasa.
 
Baby, he's just a sweet frend...
Naomba uniamini darlin am 19..
Bby, i usually don't do this but b'se you mean e/thing i'll try sucking...
Haina shida honey, size doesn't matter what counts is how u use it...
I've nevet had a boyfriend b4...
Mbona mi sio mzuri, kawaida tu...
You're the BIGEST i've ever had-kumbe jamaa kipisi cha siraga...

"Bora unidanganye, danganye, danganye tu-ukinambia ukweli utaniumiza"
Just singing🙂
 
ni mazoea tu dawa yake ni kupotezea ndo atajirekebisha, ukiendelea kumfuatilia ndo utadanganywa zaidi , wengine huwa wanaenjoy tu kudanganya
 
Hbr jf,mwanamke anakuwa na tabia ya kukudanganya countinously,isitoshe mambo mengine unagundua angekuambia ukwl kusingekuwa na athar zaid ya kukfanya uwe na aman,sielew kma ni athar xa malez ama nn,naomba wenye uzoefu wanielmishe,kejel hpa syo mahala pake

Wengi wako hivi lakini hasa visababishi ni Malezi mabaya, ulimbukeni, marafiki, kutaka makuu yaliyo nje ya malengo ya familia, hulka ya kutothamini uwepo wa mwanamume kwenye maisha yake, kuwa na mitazamo hasi kuhusu mume, hulka ya kutopenda kukataliwa kitu hata kama sababu ya kukataliwa kwake ni ya msingi, kuthamini utegemezi badala ya kujitemegemea n.k.
 
Na ni kwa jins gan naweza kumbadilisha mkuu.

kumbadilisha? over my dead body...kwanin wewe usibadilike uendane naye muongo wako?....

people do change when the costs of remaining the same are slightly higher than costs of changing.

huwezi kumbadili mpaka aone gharama za kuwa muongo ziko juu kuzidi gharama za yeye.kuwa mkweli....angalizo...gharama sio lazma iwe pesa tuu...hata umaarufu unagharama zake.
 
Back
Top Bottom