Uongo uenezwao na Wakenya!

Naona umejibiwa vizuri sana na Iconoclastes lakini kwa jinsi ulivyo mgumu wa kuelewa, utaibuka na mada kama hii baada ya miezi kadhaa. Tushawazoea na bado utajibiwa tu.
 
Waweza kumtusi barbarosa kwa vyovyote uwezavyo lakini si kwa mgongo wa kuihadhirisha nchi yako......
Simtusi, ni yeye anajitukana kama unavyojitukana wewe kwa kudhihirisha upumbavu wako. Sijui maana ya KUIHADHIRISHA, lakini kwa mtaji huu mnaidhalilisha nchi.
Huoni aibu hao wakenya unaowasifia wanavyoilinda nchi yao utadhani ni land of angels !!!!!!.....
Na wewe na mimi tuilinde ya kwetu, kwa kufanya kazi sio kujambajamba mitandaoni kila uchao kuzungumza mambo ya Kenya kiushambenga huku ya kwetu yanaenda doro. Mimi nikiwa na akili zangu timamu, sitawahoji Wakenya juu ya ardhi yao kwani hainihusu. Na kushindwa kwa Wakenya kwenye jambo lolote hakumaanishi nafuu kwangu. Uswahili tu unakusumbua na umbea.

Kama huwa unaingia youtube kutafuta video za ngono za watz utazipata na vile vile ukitaka za watu wa maana wa tz utazipata .... Au unadhani dunia inaishia YouTube
Nimekupa tu mfano, sikukwambia kwamba maisha ni YouTube.

Na kwa kukusaidia tu porn industry ya Kenya haikaribiwi na ya Tanzania ...... Watu wanafanya tour za ngono katika pwani ya Kenya na ni ushenzi ambao hutokuta wakenya wakiusemea humu !!!!....
Hayo ya porn industry sina ujuzi nayo. Nyie walinganishaji mna nafasi nzuri ya kulijua hilo.

Jifunze kuipenda nchi yako .....
Kama wakenya wapo vizuri katika chai bhasi tanzania ipo vyema katika ufuta ....kwani lazma tuzalishe kitu sawa na wao ?????.....
Naipenda nchi yangu na ndio maana sina baraka kwa mtu yeyote mpuuzi kuidhalilisha kwa kujaribu kuipigania kwa maneno badala ya vitendo. Badala ya vipindi vya kipumbavu kama tega nikutege kwenye TV zetu, tuwe na makala za maana kama Shamba Shape Up ndio tutaishinda Kenya. Huwa najisikia kukereka sana napolazimika ku-tune Kenyan TVs kupata makala hizo huku television zetu zikiwa bize na taarab as if hapa ni Mombasa au Zanzibar.

Unafiki na Uzalendo ni vitu viwili tofauti. Mlionao ni unafiki, kwamba unaipenda nchi yako kwa kuisifia badala ya kuiboresha. Mimi sina kinyongo na Mkenya wala Mnyarwanda yeyote...to me, they are not rivals...they are resources to better My Tanzania. Kukesha mtandaoni kujilinganisha kama watoto wadogo ni upuuzi. Ukiona kuna sehemu tumewazidi, piga kimya...ongeza mbio. Ukiona kuna sehemu wametuzidi, piga kima...copy.
 
Simtusi, ni yeye anajitukana kama unavyojitukana wewe kwa kudhihirisha upumbavu wako. Sijui maana ya KUIHADHIRISHA, lakini kwa mtaji huu mnaidhalilisha nchi.

Na wewe na mimi tuilinde ya kwetu, kwa kufanya kazi sio kujambajamba mitandaoni kila uchao kuzungumza mambo ya Kenya kiushambenga huku ya kwetu yanaenda doro. Mimi nikiwa na akili zangu timamu, sitawahoji Wakenya juu ya ardhi yao kwani hainihusu. Na kushindwa kwa Wakenya kwenye jambo lolote hakumaanishi nafuu kwangu. Uswahili tu unakusumbua na umbea.

Nimekupa tu mfano, sikukwambia kwamba maisha ni YouTube.

Hayo ya porn industry sina ujuzi nayo. Nyie walinganishaji mna nafasi nzuri ya kulijua hilo.

Naipenda nchi yangu na ndio maana sina baraka kwa mtu yeyote mpuuzi kuidhalilisha kwa kujaribu kuipigania kwa maneno badala ya vitendo. Badala ya vipindi vya kipumbavu kama tega nikutege kwenye TV zetu, tuwe na makala za maana kama Shamba Shape Up ndio tutaishinda Kenya. Huwa najisikia kukereka sana napolazimika ku-tune Kenyan TVs kupata makala hizo huku television zetu zikiwa bize na taarab as if hapa ni Mombasa au Zanzibar.

Unafiki na Uzalendo ni vitu viwili tofauti. Mlionao ni unafiki, kwamba unaipenda nchi yako kwa kuisifia badala ya kuiboresha. Mimi sina kinyongo na Mkenya wala Mnyarwanda yeyote...to me, they are not rivals...they are resources to better My Tanzania. Kukesha mtandaoni kujilinganisha kama watoto wadogo ni upuuzi. Ukiona kuna sehemu tumewazidi, piga kimya...ongeza mbio. Ukiona kuna sehemu wametuzidi, piga kima...copy.
Kweli ada ya mja hunena ,uungwana ni kitendo ....

Nimekuwa nikijadiliana na wakenya humu jf bila kurushiana kombola zozote za kipuuzi... Nimekujibu kiuungwana lakini wewe umetanguliza hisia zako mbele kwa kukariri kuwa kila mtz humu huja kwa ajili ya league.

Unaipenda Tanzania yako kinadharia tu kwa kuwa kama ungekuwa unaipenda kivitendo kamwe usingeyapa kipaumbele mambo yake hasi kuliko chanya.....

Katika hiyo tv1 yenye tega nikutege kuna kipindi cha safari ambacho hutalii tz nzima na kufungua milango ya fursa kwa mikoa mingineyo ......
Na hata hiyo shamba shape up huoneshwa itv pia na mimi huifuatilia nikipata muda...

Katika makuzi yangu nimeziangalia local channels za kenya nyingi tu kama ntv , citizen kbc k24 etc ...... Na hizo program unazoziona za kipumbavu ZIPO... Hivyo usijitie upofu kwa kuwa biashara ni demand hivyo si kila mtu ataangalia yale tu uyapendayo..

Kuna makongamano mengi ambayo uhudhuliwa na watu wengi yenye kuleta uchochezi wa maendeleo na kuna vijana wengi wa kitanzania wanafanya makubwa pengine kuliko hata hao wakeny lakini hawapewi support kwa mawazo kama yako ya kutilia shaka utendaji kazi wa raia wenzio......

Usione kila mtanzania ni mvivu... Hebu waulize hao wakenya kuwa watu wa pwani ya kenya na tanzania wana tofauti gani katika utendaji wao hafifu wa kazi lakini hutomuona mkenya akilisemea hili kwa kuwa wao wanaliweka taifa lao mbele.......

Nimeishi mikoa mingi hapa tz hivyo ninajua kuwa mtu wa mwanza , mbeya , arusha , zanzbar , kilimanjaro , kagera na dar wana utofauti gani .....

Ipende nchi yako ...usilete personal attacks kwa kuwa hunijui mimi ni nani na ninafanya nini ..... Discuss ideas kama wewe una upeo mkubwa
 
Naona umejibiwa vizuri sana na Iconoclastes lakini kwa jinsi ulivyo mgumu wa kuelewa, utaibuka na mada kama hii baada ya miezi kadhaa. Tushawazoea na bado utajibiwa tu.

3997792_fbimg14682557060846586_jpeg78504cd48a5bb2f573fe646b2c382159
 
Ukiangalia hizi majibu yenye umepewa na wadau hapa Barbarosa natumai utaelemika. Itakuwa wazi pia sio eneo la ardhi yenye mtu/taifa anayo miliki, bali ni matumizi yake yanayo pewa kipau mbele katika enzi hizi za sayansi na teknolojia. Iconoclastes amekupa mfano wa mahindi na ngano. Hizi nafaka mbili zina soko la ajabu nchini Kenya, kiasi ambapo kila mwaka soko lake linapanda kwa ujumla na mara kwa mara inabidi tuagize toka nje . Baadhi ya wakulima wadogo pia wanakumbwa na shida ya jinsi ya kuhifadhi mahindi baada ya kuvuna, hali ambacho kinaleta sumu ya aina ya fangasi liitwalo "Aflatoxin" kwenye hiyo mahindi, hivyo kupeleka litupwe maanake haifai kwa matumizi ya binadamu na wanyama . Na hapo ndipo wanapoagiza toka kwenu, na ukumbuke ni biashara sawa na zingine linalotia dollar kwenye hazina zenu na kuendesha uchumi wa nchi zetu mbili. Kumbuka hilo neno "biashara", andika mahali au uweke bold/italics ukipenda, tutairudia tena kama haujashika darasa vizuri.

Katika uzi mwingine nilitaja hili linafanyika pia nchini Japan na zao la mpunga, na nchini Ethiopia na zao lao maalum ya "Teff".Sio eti wakulima wa hizo nchi mbili ni wazembe, la. Huko nako hali ni vilevile tu: soko linahitaji zaidi ya uzalishaji wanaagiza toka nje pia. Nadhani umeelemika.
 
Anahitaji hela, madhara hayo yana gharama. Pingli-nywee?
Kweli jombaa,inataka hela au ufadhili wa 'N.G.Os',siunajua wale wazungu 'wanaowajali' waafrika saaaana?Hahaha!Bila kusahau madhara ya kisaikolojia,zile 'moods' za ajabu ajabu.Duh!Kazi kweli kweli!
 
Ukiangalia hizi majibu yenye umepewa na wadau hapa Barbarosa natumai utaelemika. Itakuwa wazi pia sio eneo la ardhi yenye mtu/taifa anayo miliki, bali ni matumizi yake yanayo pewa kipau mbele katika enzi hizi za sayansi na teknolojia. Iconoclastes amekupa mfano wa mahindi na ngano. Hizi nafaka mbili zina soko la ajabu nchini Kenya, kiasi ambapo kila mwaka soko lake linapanda kwa ujumla na mara kwa mara inabidi tuagize toka nje . Baadhi ya wakulima wadogo pia wanakumbwa na shida ya jinsi ya kuhifadhi mahindi baada ya kuvuna, hali ambacho kinaleta sumu ya aina ya fangasi liitwalo "Aflatoxin" kwenye hiyo mahindi, hivyo kupeleka litupwe maanake haifai kwa matumizi ya binadamu na wanyama . Na hapo ndipo wanapoagiza toka kwenu, na ukumbuke ni biashara sawa na zingine linalotia dollar kwenye hazina zenu na kuendesha uchumi wa nchi zetu mbili. Kumbuka hilo neno "biashara", andika mahali au uweke bold/italics ukipenda, tutairudia tena kama haujashika darasa vizuri.

Katika uzi mwingine nilitaja hili linafanyika pia nchini Japan na zao la mpunga, na nchini Ethiopia na zao lao maalum ya "Teff".Sio eti wakulima wa hizo nchi mbili ni wazembe, la. Huko nako hali ni vilevile tu: soko linahitaji zaidi ya uzalishaji wanaagiza toka nje pia. Nadhani umeelemika.
umewapoteza wote utaanza kuona picha za turkland hapa don't go into such depth bro you will always lose them on the way only for a fellow kind hearted try to pick them up and do it all again explain and lose them again..
 
Kweli ada ya mja hunena ,uungwana ni kitendo ....
Nimekuwa nikijadiliana na wakenya humu jf bila kurushiana kombola zozote za kipuuzi... Nimekujibu kiuungwana lakini wewe umetanguliza hisia zako mbele kwa kukariri kuwa kila mtz humu huja kwa ajili ya league.
Siku nyingine usirudie kudandia mada katikati. Nilikuwa namuelewesha Mamarosa juu ya upuuzi wake alioanzisha hapa juu ya Wakenya. Labda nikuulize wewe uliyerukia, HOW PRODUCTIVE IS THE TOPIC FOR YOUR COUNTRY? If you see any positives in this fluffy then you are stupid.

Nilichokuwa namfunda yule mwenzako ni kwamba NI UPUMBAVU KU-HIGHLIGHT MATATIZO YA WATU WENGINE UKIZINGATIA HAYAKUHUSU. Mimi kumuelewesha tu hivyo, nimekuwa siipendi Tanzania. Unaipenda wewe mmbea na huu umbea wa kuangalia ya jirani. Mimi nitawaacha tu mkiniambia UONGO WA WAKENYA UNAIATHIRI VIPI TANZANIA.

Unaipenda Tanzania yako kinadharia tu kwa kuwa kama ungekuwa unaipenda kivitendo kamwe usingeyapa kipaumbele mambo yake hasi kuliko chanya.....
Mimi nijuavyo, hakuna mtu husumbuliwa na mtoto wa jirani asipoenda shule. Mtaani kuna watoto wengi, jiulize kwa nini wa jirani asipoenda shule hukasiriki lakini wa kwako asipoenda shule unakasirika? Jibu ni kwamba, unakasirika wa kwako asipoenda shule kwa kuwa anakuhusu. Nayapa kipaumbele mambo hasi ya Tanzania kwa kuwa yananiudhi. Nina mapenzi gani kwa Kenya mpaka nikerwe na umalaya wao kiasi cha kuanzisha mada jukwaani?

Katika hiyo tv1 yenye tega nikutege kuna kipindi cha safari ambacho hutalii tz nzima na kufungua milango ya fursa kwa mikoa mingineyo ......
Na hata hiyo shamba shape up huoneshwa itv pia na mimi huifuatilia nikipata muda...

Katika makuzi yangu nimeziangalia local channels za kenya nyingi tu kama ntv , citizen kbc k24 etc ...... Na hizo program unazoziona za kipumbavu ZIPO... Hivyo usijitie upofu kwa kuwa biashara ni demand hivyo si kila mtu ataangalia yale tu uyapendayo..
Kama unafikiri wana upumbavu zaidi yetu, njoo sasa tufikiri kwa nini uchumi wao uko juu ya kwetu. Mimi sikuyaona hayo kwao, nikifungua channel zao huwa natafuta vitu productive pengine ndio maana sioni vya kijinga.

Ni kweli Shamba Shape Up inaoneshwa pia ITV, kama ambavyo ISIDINGO inaoneshwa South Africa na Tanzania pia...lakini unajua ISIDINGO inarekodiwa wapi? (Kama una akili utaelewa namaanisha nini)

Kuna makongamano mengi ambayo uhudhuliwa na watu wengi yenye kuleta uchochezi wa maendeleo na kuna vijana wengi wa kitanzania wanafanya makubwa pengine kuliko hata hao wakeny lakini hawapewi support kwa mawazo kama yako ya kutilia shaka utendaji kazi wa raia wenzio......
Hapo kwenye RED kesho uandike UHUDHURIWA. Sasa kesho wewe na mwenzako muanzishe mada za kuwahusu vijana wa Kitanzania waliofanya makubwa na sio kuzungumza mambo ya jirani. Ukimuweka mbele yangu kijana Mtanzania anayefanya jambo zuri nafurahi sana. Rejea hoja zangu juu ya Dr Mwaka na wavumbuzi wetu wengine. Mimi nimewasemea vizuri sana na kweli nimesikitishwa na kukwamishwa kwao. Lakini upuuzi wa kuzungumza matatizo ya wenzetu hautuweki mbele, mwenye akili na aelewe hili.

Usione kila mtanzania ni mvivu... Hebu waulize hao wakenya kuwa watu wa pwani ya kenya na tanzania wana tofauti gani katika utendaji wao hafifu wa kazi lakini hutomuona mkenya akilisemea hili kwa kuwa wao wanaliweka taifa lao mbele.......
Mkenya akificha UVIVU wa mtu wa Mombasa, usifiche uvivu wa mtu wa Tanga. Mseme sana wa Tanga ili abadilike tuizidi Kenya.

Ipende nchi yako ...usilete personal attacks kwa kuwa hunijui mimi ni nani na ninafanya nini .....
Ulitaka nikujue kwa lipi zaidi ya hili? Hivi ni vitisho au kitu gani? Wewe ni nani si kazi yangu.
Discuss ideas kama wewe una upeo mkubwa
Sasa umeanza kupata akili. Tujadili IDEAS, sio kujadili Wakenya
 
Siku nyingine usirudie kudandia mada katikati. Nilikuwa namuelewesha Mamarosa juu ya upuuzi wake alioanzisha hapa juu ya Wakenya. Labda nikuulize wewe uliyerukia, HOW PRODUCTIVE IS THE TOPIC FOR YOUR COUNTRY? If you see any positives in this fluffy then you are stupid.

Nilichokuwa namfunda yule mwenzako ni kwamba NI UPUMBAVU KU-HIGHLIGHT MATATIZO YA WATU WENGINE UKIZINGATIA HAYAKUHUSU. Mimi kumuelewesha tu hivyo, nimekuwa siipendi Tanzania. Unaipenda wewe mmbea na huu umbea wa kuangalia ya jirani. Mimi nitawaacha tu mkiniambia UONGO WA WAKENYA UNAIATHIRI VIPI TANZANIA.

Mimi nijuavyo, hakuna mtu husumbuliwa na mtoto wa jirani asipoenda shule. Mtaani kuna watoto wengi, jiulize kwa nini wa jirani asipoenda shule hukasiriki lakini wa kwako asipoenda shule unakasirika? Jibu ni kwamba, unakasirika wa kwako asipoenda shule kwa kuwa anakuhusu. Nayapa kipaumbele mambo hasi ya Tanzania kwa kuwa yananiudhi. Nina mapenzi gani kwa Kenya mpaka nikerwe na umalaya wao kiasi cha kuanzisha mada jukwaani?

Kama unafikiri wana upumbavu zaidi yetu, njoo sasa tufikiri kwa nini uchumi wao uko juu ya kwetu. Mimi sikuyaona hayo kwao, nikifungua channel zao huwa natafuta vitu productive pengine ndio maana sioni vya kijinga.

Ni kweli Shamba Shape Up inaoneshwa pia ITV, kama ambavyo ISIDINGO inaoneshwa South Africa na Tanzania pia...lakini unajua ISIDINGO inarekodiwa wapi? (Kama una akili utaelewa namaanisha nini)

Hapo kwenye RED kesho uandike UHUDHURIWA. Sasa kesho wewe na mwenzako muanzishe mada za kuwahusu vijana wa Kitanzania waliofanya makubwa na sio kuzungumza mambo ya jirani. Ukimuweka mbele yangu kijana Mtanzania anayefanya jambo zuri nafurahi sana. Rejea hoja zangu juu ya Dr Mwaka na wavumbuzi wetu wengine. Mimi nimewasemea vizuri sana na kweli nimesikitishwa na kukwamishwa kwao. Lakini upuuzi wa kuzungumza matatizo ya wenzetu hautuweki mbele, mwenye akili na aelewe hili.

Mkenya akificha UVIVU wa mtu wa Mombasa, usifiche uvivu wa mtu wa Tanga. Mseme sana wa Tanga ili abadilike tuizidi Kenya.

Ulitaka nikujue kwa lipi zaidi ya hili? Hivi ni vitisho au kitu gani? Wewe ni nani si kazi yangu.

Sasa umeanza kupata akili. Tujadili IDEAS, sio kujadili Wakenya
Nimeshakueleza kuwa watu wenye hekima hawana personal attacks lakini bado unaendelea nayo !!!!!......
Poor mind

Hivi hujihurumii unavyoitetea Kenya na kuyafukia mabaya yao huku unaikandia Tanzania na kuyaanika mabaya yake !!!!!....

Kumbe unajua kutafuta vipindi bora vya tv kwa local channels za kenya ila hutafuta vipindi vibovu vya tz ili uvikosoe ????.......

Ndugu yangu una KENYAPHOBIA bila shaka na ndio maana unawaona wapo juu yako na ndio maana hutokiona kitu cha Tanzania chema bila kukilinganisha na cha Kenya......

Nina wasiwasi kama unafuatilia yanayojili Tanzania na pia kama umeitembea nchi hii vyema...

WEKA HISIA PEMBENI NA UTUMIE AKILI KAMA MWANAUME LA SIVYO UTAFUTE SAMPULI YA KUBISHANA NAYO HUMU JF KIVULANA.....

SINTOKUJIBU TENA .....
 
Siku nyingine usirudie kudandia mada katikati. Nilikuwa namuelewesha Mamarosa juu ya upuuzi wake alioanzisha hapa juu ya Wakenya. Labda nikuulize wewe uliyerukia, HOW PRODUCTIVE IS THE TOPIC FOR YOUR COUNTRY? If you see any positives in this fluffy then you are stupid.

Nilichokuwa namfunda yule mwenzako ni kwamba NI UPUMBAVU KU-HIGHLIGHT MATATIZO YA WATU WENGINE UKIZINGATIA HAYAKUHUSU. Mimi kumuelewesha tu hivyo, nimekuwa siipendi Tanzania. Unaipenda wewe mmbea na huu umbea wa kuangalia ya jirani. Mimi nitawaacha tu mkiniambia UONGO WA WAKENYA UNAIATHIRI VIPI TANZANIA.

Mimi nijuavyo, hakuna mtu husumbuliwa na mtoto wa jirani asipoenda shule. Mtaani kuna watoto wengi, jiulize kwa nini wa jirani asipoenda shule hukasiriki lakini wa kwako asipoenda shule unakasirika? Jibu ni kwamba, unakasirika wa kwako asipoenda shule kwa kuwa anakuhusu. Nayapa kipaumbele mambo hasi ya Tanzania kwa kuwa yananiudhi. Nina mapenzi gani kwa Kenya mpaka nikerwe na umalaya wao kiasi cha kuanzisha mada jukwaani?

Kama unafikiri wana upumbavu zaidi yetu, njoo sasa tufikiri kwa nini uchumi wao uko juu ya kwetu. Mimi sikuyaona hayo kwao, nikifungua channel zao huwa natafuta vitu productive pengine ndio maana sioni vya kijinga.

Ni kweli Shamba Shape Up inaoneshwa pia ITV, kama ambavyo ISIDINGO inaoneshwa South Africa na Tanzania pia...lakini unajua ISIDINGO inarekodiwa wapi? (Kama una akili utaelewa namaanisha nini)

Hapo kwenye RED kesho uandike UHUDHURIWA. Sasa kesho wewe na mwenzako muanzishe mada za kuwahusu vijana wa Kitanzania waliofanya makubwa na sio kuzungumza mambo ya jirani. Ukimuweka mbele yangu kijana Mtanzania anayefanya jambo zuri nafurahi sana. Rejea hoja zangu juu ya Dr Mwaka na wavumbuzi wetu wengine. Mimi nimewasemea vizuri sana na kweli nimesikitishwa na kukwamishwa kwao. Lakini upuuzi wa kuzungumza matatizo ya wenzetu hautuweki mbele, mwenye akili na aelewe hili.

Mkenya akificha UVIVU wa mtu wa Mombasa, usifiche uvivu wa mtu wa Tanga. Mseme sana wa Tanga ili abadilike tuizidi Kenya.

Ulitaka nikujue kwa lipi zaidi ya hili? Hivi ni vitisho au kitu gani? Wewe ni nani si kazi yangu.

Sasa umeanza kupata akili. Tujadili IDEAS, sio kujadili Wakenya
Mbona unakasirika mkuu? we utakuwa mkenya na usijifanye ni Mtz au toka mikoa ya kaskazini wanojipendekeza kwa wakenya
 
Mwana mtoka pabaya faara kweli mbona unatokwa mapovu hivo na mapersonal attack pumbavu zako.
Hii forum kila upande huanzisha mada za kijinga, dont pretend to be a stupid biased mediator.
 
You are a very SMART fellow.
 
m

tu Wangu hapo umemjibu vizuri jinsi nilvyokua nafikiria tu bravo
 
Nimeshakueleza kuwa watu wenye hekima hawana personal attacks lakini bado unaendelea nayo !!!!!......
Poor mind

Hivi hujihurumii unavyoitetea Kenya na kuyafukia mabaya yao huku unaikandia Tanzania na kuyaanika mabaya yake !!!!!....

WEKA HISIA PEMBENI NA UTUMIE AKILI KAMA MWANAUME LA SIVYO UTAFUTE SAMPULI YA KUBISHANA NAYO HUMU JF KIVULANA.....

SINTOKUJIBU TENA .....

Wakenya wanahitaji utetezi wangu?

Nawatetea kwani wameshitakiwa sehemu? Don't be silly. They are there doing their things...we are here talking about them. Is not this stupidity?

Kama hunielewi namaanisha hivi: TUNA MAMBO MENGI YA KWETU YA KUJADILI. NINACHOKIPINGA NA NITAENDELEA KUKIPINGA NI HILI SUALA LENU LA KUIPIGANIA TANZANIA KWA MIDOMO. MBONA MIDOMO YETU IKO BIZE SANA NA MAMBO YA JIRANI?

Kuna mtu kapiga marufuku utengenezaji wa Helicopter, hebu turudi tukajadili hilo linatuacha wapi kama Taifa na sio kujadili mambo ya watu. Nimekuuliza swali moja tu hujanijibu badala yake uko hapa seeking public sympathy kwamba nimekuattack: WAKENYA WAKIDANGANYA KUWA WANA NJAA SABABU ........SISI KAMA WATANZANIA TUNAUGUA WAPI KIASI CHA HUJU MWENZAKO KUANZISHA MADA YA KUWAJADILI? Nijibu hili
 
Mwana mtoka pabaya faara kweli mbona unatokwa mapovu hivo na mapersonal attack pumbavu zako.
Mapovu ni haya unatokwa wewe ndio sasa unatukana. Umekosa hoja, siwezi kukulaumu.

Hii forum kila upande huanzisha mada za kijinga, dont pretend to be a stupid biased mediator.
At least am pretending to be stupid, but you are. Labda ungeniita 'selfish' kwa sababu sikupenda kuwafaidisha Wakenya kwa yale nifikiriayo yanafaa.

Yanifaa nini kupoteza muda kuwakemea wasio wangu? Ikiwa mwanangu anarudi shule amekosa hesabu nyingi, sitamsifia kwa kuwa na mtoto wa jirani naye amekosa hesabu nyingi. Barbarosa, fellow countryman is my liability but Kenyans are not. I will scold him not them.

As for you little idiot brother...usianzishe mada za kijinga. Yawezekana hao unaoshindana nao kwenye mada za kijinga unazozisema wanafanya hivyo ili tu kukutoa kwenye mambo ya maana kiasi tuendelee kuagiza walimu na blue band kwao. Acha upuuzi, Tanzania haishindani kwa maneno ya mtandaoni. Tutibu matatizo yetu na sio kutafuta kitu cha kujilinganishia.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom