Uongo uenezwao na Wakenya!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,596
2,000
Mara nyingi sana nimewasikia Wakenya pindi wakumbwapo na baa la njaa wakijitetea kwamba nchi yao ni Jangwa hivyo haina ardhi ya kutosha kulima na ndiyo maana wanashida ya chakula, huu ni uongo na upotoshaji mkubwa!

Nchi ya Kenya ina km za mraba zaidi ya 580 000 (km²) na watu zaidi ya milioni 40 tu, hivyo kukosa sehemu kulima chakula cha kutosha watu milioni 40 tu ndani ya nchi yenye zaidi ya km² laki tano na themanini ni UONGO na ni maajabu ya Dunia!
Ikumbukwe kwamba nchi ya Kenya imepitiwa na Bonde la Ufa na hii ni moja kati ya sehemu zenye rutuba kuliko zote hapa Afrika sasa iweje wakose chakula?

Ukweli ni kwamba nchi ya Kenya inakuwa na uhaba wa chakula siyo kwa kukosa ardhi ya kulima kwa sababu ya Jangwa la hasha, bali sehemu kubwa ya ardhi yao inayofaa kwa kilimo inahodhiwa na Wanasiasa na Wazungu ambao wameiweka tu na hawalimi chochote hiyo ndiyo sababu na watu wa chini na masikini wameachiwa Turkana, ndiyo maana chakula siku zote hakitoshi!
 
Smatta

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
2,353

Sawa Mamarosa tumekuskia. NEXT
 
Iconoclastes

JF-Expert Member
May 26, 2014
4,104

Unajua, wewe unaongea ni kana kwamba kila sehemu ya Kenya kumeathirika na njaa. Watanzania kama wewe mnaojifanya kuijua saana nchi ya Kenya, hata kudai kuwahi kuishi huku, ilhali comments mnazotoa kuhusu nchi hii ni za ushenzi wakati mwingine.

Baa la njaa Kenya hutokea maeneo kame ya nchi, kama Turkana na north eastern huko, hata Geza anajua hilo na angekurekebisha. Maeneo mengine Kenya yanazalisha vyakula kwa wingi na watu wako very secure in terms of food, baadhi hata kuuzwa nje, ikiwemo Tanzania. Bidhaa za nyama na maziwa kutoka Kenya kwa mfano, si ziko Tanzania?
Hakuna nchi eneo hili la Africas mashariki na kati inayoshinda Kenya kwa uzalishaji wa cereals kama ngano na mchele na mtama. Kenya ni la pili barani Africa kwa kuexport bidhaa za maziwa, nyama na maziwa, mboga mboga na matunda EU baada ya South Africa.

Mfano hapa:

wheat-for-africa-3-638.jpg

Swali lako lingekuwa ni je, serikali ya Kenya imeweka mikakati zipi kupunguza incidents za njaa kwenye maeneo kame ya Kaskazini mwa Kenya?

Miradi za kukomesha njanga hili ndilo hili limezungumziwa hapa
Kenya | WFP | United Nations World Food Programme - Fighting Hunger Worldwide

Sasa wewe na watanzania wenzako ndio mnafaa kujiuliza, ni kwanini nchi yenye ardhi kubwa na yenye rotuba kama hilo lenyu, nchi ambayo haina maeneo kame bado liendelee kukumbwa na ukosefu wa chakula toshelezi?

CGViD06W8AA_2Gn.jpg
 
CGViD06W8AA_2Gn.jpgKama hayo unayoyasema ni ya ukweli kwamba Kenya inalima chakula cha kutosha ni kwa nini sasa Serikali inaagiza Mahindi na nafaka nyingine nje ya nchi ya Kenya?
Kwa nini isichukue Mahindi ktk Riftvalley na kupeleka Turkana?
Kwani logic ya kawaida inasema ni rahisi zaidi klk kuagiza kutoka nje ya nchi!
 
Iconoclastes

JF-Expert Member
May 26, 2014
4,104
2,000
Kama hayo unayoyasema ni ya ukweli kwamba Kenya inalima chakula cha kutosha ni kwa nini sasa Serikali inaagiza Mahindi na nafaka nyingine nje ya nchi ya Kenya?
Kwa nini isichukue Mahindi ktk Riftvalley na kupeleka Turkana?
Kwani logic ya kawaida inasema ni rahisi zaidi klk kuagiza kutoka nje ya nchi!
Ni mahindi tu, sio nafaka mengine. Mahindi tu. Na ninarudia, ni mahindi tu.

Hili ni kwasababu mahindi ndicho chakula kikuu Kenya. Ugali ndicho chakula kinachopendwa zaidi na wakenya. It is the staple, or if u like the national food for Kenyans. Hakuna siko familia nyingi Kenya hukosa kula ugali angalau mara moja kwa siku. Na ni mara nyingi sana serikali imewahi kuwashawishi wakenya kutotegemea zaidi ugali. Kukiwa na shortage pia basi wakajaribu na hayo vyakula vingine.
The demand for maize is extremely high, and Kenya is incapable of producing enuff to keep up with the demand. That is why the state is constrained to import.

Watu wa maeneo ya central, western ama nyanza wakikuambia kuna uhaba wa chakula maeneo yao, hiyo wanamaanisha hamna mahindi. Mahindi ndicho chakula, hayo mengine; mchele, ngano, wimbi....its like they are not considered 'proper' foods.

Ukosefu wa bidhaa za mahindi Kenya ni jambo ambalo hata linaweza kuzua rabsha nchini.

This was five years ago, unga revolution!!!
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
42,891

u even depend on us for fruits, millet, onions and rice too....
 
Iconoclastes

JF-Expert Member
May 26, 2014
4,104
2,000

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom