Uongo mwingine hata haufai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongo mwingine hata haufai

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mbimbinho, Jun 5, 2012.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  UONGO MWINGINE HATA HAUFAI....
  Jamaa: Unasoma?
  Demu: Hapana sisomi, vipi wewe
  unasoma?
  Jamaa: Ndo nipo kidato cha nne
  Jangwani.
  Demu: Jamani hiyo si shule ya wasichana?
  Jamaa: Aaah sory nimechanganya
  nipo Kisutu
  Demu: Mwee mbona nayo ya wasichana...
  Jamaa: haaah aaah nilikuwa
  nakutania tu nachukua masters Teachers College Mwenge.
  Demu: Mh ina maana Teachers College zimeanza kutoa masters?
  Jamaa: Ishia zako demu mwenyewe hulipi wala nini...unaniuliza maswali
  kama tupo uhamiaji? KWA
  TAHARIFA YAKO NACHUKUA DEGREE
  YA UDAKTARI CBE.
   
 2. P

  Pinyora Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safi kabisa. yaani hiyo ndo dawa za waongo.
   
 3. Jimmysam

  Jimmysam Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahaaaaaa haaaaaaaaaaaa.
   
Loading...