Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,804
UONGO MWINGINE HATA HAUFAI....
Jamaa: Unasoma?
Demu: Hapana sisomi, vipi wewe
unasoma?
Jamaa: Ndo nipo kidato cha nne
Jangwani.
Demu: Jamani hiyo si shule ya wasichana?
Jamaa: Aaah sory nimechanganya
nipo Kisutu
Demu: Mwee mbona nayo ya wasichana...
Jamaa: haaah aaah nilikuwa
nakutania tu nachukua masters Teachers College Mwenge.
Demu: Mh ina maana Teachers College zimeanza kutoa masters?
Jamaa: Ishia zako demu mwenyewe hulipi wala nini...unaniuliza maswali
kama tupo uhamiaji? KWA
TAHARIFA YAKO NACHUKUA DEGREE
YA UDAKTARI CBE.