Uongo mbaya...

Uongo mbaya...

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,920
Hahahahhaha jamaa kaumbuka lol
 

Attachments

  • 1388747380132.jpg
    1388747380132.jpg
    67.6 KB · Views: 1,157
farkhina usiwe unamdanganya boss wako

Aku ni wewe huyo....siku nyengine ukitaka kudanganya uje nkupe uongo lol......sio kumuua mjomba ako alafu akafufuka lol
 
Last edited by a moderator:
Miye wala asingenkamata wallahi, ningemwambia yule ni mjombangu wa Michenzani na aliyefariki ni mjomba wa Kiembesamaki angenipatia wapi!

Hahahahahaa Zinduna wewe kiboko....
 
Last edited by a moderator:
farkhina wenzio tukitaka kukoroga kazini tunaua watu walokwisha kufa kitambo,i.e unaweza kucreate simanzi kuuuuubwa ya kumpoteza baba yako mkubwa of whom alikwisha kufariki kabla hujaanza hata kazi

Hahahahahhah lol.....wewe noma....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom