KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,887 Reaction score 40,069 Jul 5, 2017 #121 Guasa Amboni said: Mzee mwenzangu kitambo! Kwema lakini ndugu yangu?kwa kweli ni changamoto hiyo. Click to expand... Kwema ndugu yangu habari za masiku tele.....!!?
Guasa Amboni said: Mzee mwenzangu kitambo! Kwema lakini ndugu yangu?kwa kweli ni changamoto hiyo. Click to expand... Kwema ndugu yangu habari za masiku tele.....!!?
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,303 Jul 6, 2017 #122 KikulachoChako said: Kwema ndugu yangu habari za masiku tele.....!!? Click to expand... Kheri kabisa ndugu yangu tunaendelea ujenzi wa taifa hili.
KikulachoChako said: Kwema ndugu yangu habari za masiku tele.....!!? Click to expand... Kheri kabisa ndugu yangu tunaendelea ujenzi wa taifa hili.
juvenile davis JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 4,752 Reaction score 4,480 Jul 6, 2017 Thread starter #123 KikulachoChako said: Ndio maana wazee wetu walisisitiza sana watoto wa kiume kupelekwa jandoni........ Haya hayawezi kuandikwa na kijana wa kiume aliyekaa jandoni...... Click to expand... Hayo ni mawazo yako,usilazimishe tufanane
KikulachoChako said: Ndio maana wazee wetu walisisitiza sana watoto wa kiume kupelekwa jandoni........ Haya hayawezi kuandikwa na kijana wa kiume aliyekaa jandoni...... Click to expand... Hayo ni mawazo yako,usilazimishe tufanane
juvenile davis JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 4,752 Reaction score 4,480 Jul 6, 2017 Thread starter #124 MrConveter said: Hajui Kuvaa? Unamaanisha nini unaposema hajui kuvaa? Click to expand... Hapangilii mavazi
MrConveter said: Hajui Kuvaa? Unamaanisha nini unaposema hajui kuvaa? Click to expand... Hapangilii mavazi
Barn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2017 Posts 2,733 Reaction score 4,050 Jul 7, 2017 #125 Huu Uzi umeletwa na jinsia me au ke tuanzia hapo kwanza
U Unknown2 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 2,355 Reaction score 5,092 Jul 7, 2017 #126 kedrick said: Hata B12 n shadee hawaendan sijui b12 aliona nn pale ila mapenzi upofu Click to expand... Weka picha mkuu
kedrick said: Hata B12 n shadee hawaendan sijui b12 aliona nn pale ila mapenzi upofu Click to expand... Weka picha mkuu
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,791 Jul 7, 2017 #127 tinkibiruka mhaya said: Nimekupenda bure yaan hahhaha uwiiiiii Click to expand... Karibu!
K kinawari2 Senior Member Joined Sep 16, 2016 Posts 153 Reaction score 174 Jul 7, 2017 #128 Wanaume wa Dar tabia zenu tofauti kabisa yaani
Jaby'z JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 4,318 Reaction score 7,657 Feb 16, 2019 #129 R.i.p Zilla