Hakuna hasara yoyote ktk ukweliIla we ulishamdanganya mpenzi wako.... Hebu niambie zipi ni hasara za kuwa mkweli wakati wote ktk Mapenzi?
Ole wako unidanganye nakupa kelebu matatra
Tombaana ebhe.....nyanebhe gete.
Nyanabhe nkonko kandegeja ntwe...Shindo loko
Wewe uongo ni mtaji katika mapenzi kwa sasa
Sio sahihi kabisa.He hee we ruka kimanga tu nitakukamata.
Hivi ni sahihi kuwa muongo wakati wote ktk mapenzi
mf. kudanganya mshahara,mtoto wa nje ya ndoa n.k
Katika mahusiano yako ushasema Uongo ambao Kama Ungesema kweli Uhusiano ungeweza kuvunjika Au kugombana Na mwenzio?Sio sahihi kabisa.
Mshahara au kipato mke au mume lazima kiwekwe wazi na kila mmoja akifahamu.
Mtoto wa nje ya ndoa ambae umezaa kabla ya kuoa mwanamke mwingine au ukiwa ktk ndoa alafu unakua na michepuko then unazaa? Ukizaa kabla ya ndoa na ukapata mwanamke mwingine ukaowa sio vzr kumficha huyo mtoto na ukiwa ktk ndoa ukachepuka nje ni vema kumficha huyo mtoto maana timbwili lake ni shida! Kwa wanawake wengine na yeye anapigwa mimba huko nje alafu anakuletea mtoto ndani lilefuuu wakati wewe kidingi kibushuti.
Usichokipenda wewe usimfanyie mwezio siku akikufanyia wewe utaomba ardhi ipasuke
Hapana sijawahiKatika mahusiano yako ushasema Uongo ambao Kama Ungesema kweli Uhusiano ungeweza kuvunjika Au kugombana Na mwenzio?
Kwanza ukipata binti lazima muyasahau yote ya nyuma yani hizo mastori kwamba alitembea na bus la Costa lote au vipi wewe sijui ulimaliza bweni zima la wanafunzi wa kike hizo zote mnazipiga chini. Na mnaanza fresh kabisa. Ila kuanzia hapo hizo hbr za kuchepeka ni marikufu.Chukulia bora kipi mpenzi kukudanganya au kusema ukweli.
...unampenda na unataka awe mkeo Ila kashatembea na wanaume 40 , na kutoa mimba kibao bora akudanganye au aseme ukweli?
Waswahili wanasemaga hivi ukimchnguza bata huwezi mla... Shaulilo my ValleyChukulia bora kipi mpenzi kukudanganya au kusema ukweli.
...unampenda na unataka awe mkeo Ila kashatembea na wanaume 40 , na kutoa mimba kibao bora akudanganye au aseme ukweli?
Ha haa nimependa hapo umpe malovee asahau wa kosta....Kwanza ukipata binti lazima muyasahau yote ya nyuma yani hizo mastori kwamba alitembea na bus la Costa lote au vipi wewe sijui ulimaliza bweni zima la wanafunzi wa kike hizo zote mnazipiga chini. Na mnaanza fresh kabisa. Ila kuanzia hapo hizo hbr za kuchepeka ni marikufu.
Kwa kifupi ni kwamba sitomuuliza yaliyopita nitakomaa nimpe maloveee nimjali mpk wale wote wa kwenye Costa awasahau na akiri mwenyewe kwa kinywa chake kua wewe ni chiboko.
Sbbu kubwa ya mwenza kulose trust ni michepuko. Lkn ukiwa ktk njia kuu haiwezi tokea.Ha haa nimependa hapo umpe malovee asahau wa kosta....
Umejiandaaje kisaikologia pale ambapo mpenz wako au mwenza wako atakapoloose trust na wewe?
Sasa kwakua muda sio rafiki,macho yanaanza kupoteza mawasiliano naomba kwaleo tuishie hapa. Japo natamani tuingie ndani zaidi muda umetuwekea ukuta,hata maswali ya chumbani leo ngoja nikusamehe yasiwepo.Sbbu kubwa ya mwenza kulose trust ni michepuko. Lkn ukiwa ktk njia kuu haiwezi tokea.
Asante sn my Valley.Sasa kwakua muda sio rafiki,macho yanaanza kupoteza mawasiliano naomba kwaleo tuishie hapa. Japo natamani tuingie ndani zaidi muda umetuwekea ukuta,hata maswali ya chumbani leo ngoja nikusamehe yasiwepo.
Mi nakushukuru kwa uitikio wako mana nilikustua tu gafla na ukawa tayari....
Uwe na usiku mwema,tukutane tena panapo majaaliwa...
Tchao