Uongo haudumu: CHADEMA wanasema Trilioni 1.6 Zitto anasema ni Trilioni 4.8

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Zitto kama Zitto jeshi la mtu mmoja anasema ripoti ya CAG imebaini mkanganyiko wa takribani trilioni 4.8 za kitanzania.

Kwa upande mwingine kikundi cha watu kupitia mwamvuli unaoitwa Chadema wanasema ripoti ya CAG imebaini trilioni 1.6 za kitanzania.

Siku zote zumbukuku anatabia ya kujadili na kusema mambo yasiyokuwepo,kama nchi itaendelea kuwa na kambi ya upinzani iliyosheheni waongo wa mchana kweupe ni dhahiri wananchi watawapa adhabu ya kuwapuuza.

Nimalize tu kwa kusema "uongo haudumu"

Muda mwingine tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WE ZOMBIE!!
...SOMAIYOOOOOOOO!!!!
Screenshot_2019-04-14_174030.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,
Zitto kama Zitto jeshi la mtu mmoja anasema ripoti ya CAG imebaini mkanganyiko wa takribani trilioni 4.8 za kitanzania.
Kwa upande mwingine kikundi cha watu kupitia mwamvuli unaoitwa Chadema wanasema ripoti ya CAG imebaini trilioni 1.6 za kitanzania.
Siku zote zumbukuku anatabia ya kujadili na kusema mambo yasiyokuwepo,kama nchi itaendelea kuwa na kambi ya upinzani iliyosheheni waongo wa mchana kweupe ni dhahiri wananchi watawapa adhabu ya kuwapuuza.
Nimalize tu kwa kusema "uongo haudumu"
Muda mwingine tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya weye kuona hizo tofauti ndiyo ukahitimisha kwamba hakuna fedha yenye query? Huwa mnaazima huto tuakili wapi?
 
Siku zote zumbukuku anatabia ya kujadili na kusema mambo yasiyokuwepo,kama nchi itaendelea kuwa na kambi ya upinzani iliyosheheni waongo wa mchana kweupe ni dhahiri wananchi watawapa adhabu ya kuwapuuza.
Kwa hiyo ukiiba maeneo mtaani katika usiku mmoja, si kila mtu ataelezea alichoshuhudia ukiiba? Unataka mtaa ukae kikao kutoa tamko moja la wizi wako? Kosa la wizi liko pale pale, bila kujali nani ametaja kiwango kipi cha wizi. Nilitegemea uje na utetezi wa wizi kwa kila mmoja aliyekutuhumu, badala yake hoja yako ni kwamba wanaokutuhumu wametofautiana viwango1
 
Ndugu zangu,

Zitto kama Zitto jeshi la mtu mmoja anasema ripoti ya CAG imebaini mkanganyiko wa takribani trilioni 4.8 za kitanzania.

Kwa upande mwingine kikundi cha watu kupitia mwamvuli unaoitwa Chadema wanasema ripoti ya CAG imebaini trilioni 1.6 za kitanzania.

Siku zote zumbukuku anatabia ya kujadili na kusema mambo yasiyokuwepo,kama nchi itaendelea kuwa na kambi ya upinzani iliyosheheni waongo wa mchana kweupe ni dhahiri wananchi watawapa adhabu ya kuwapuuza.

Nimalize tu kwa kusema "uongo haudumu"

Muda mwingine tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
we nawe chadema wamezungumzia 1.4 ileee zitto kajumlisha ileeee na hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Zitto kama Zitto jeshi la mtu mmoja anasema ripoti ya CAG imebaini mkanganyiko wa takribani trilioni 4.8 za kitanzania.

Kwa upande mwingine kikundi cha watu kupitia mwamvuli unaoitwa Chadema wanasema ripoti ya CAG imebaini trilioni 1.6 za kitanzania.

Siku zote zumbukuku anatabia ya kujadili na kusema mambo yasiyokuwepo,kama nchi itaendelea kuwa na kambi ya upinzani iliyosheheni waongo wa mchana kweupe ni dhahiri wananchi watawapa adhabu ya kuwapuuza.

Nimalize tu kwa kusema "uongo haudumu"

Muda mwingine tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Then provide ur fact siyo unabeza bila ww kuwa na fact...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ni ngapi zimepotea ? Binafsi hata kama kuna mtu amekosea figure sijali sana, issue ni upotevu hata kama ni milioni tano..., kodi zetu inabidi zisipotee hata senti moja..
 
Ndugu zangu,

Zitto kama Zitto jeshi la mtu mmoja anasema ripoti ya CAG imebaini mkanganyiko wa takribani trilioni 4.8 za kitanzania.

Kwa upande mwingine kikundi cha watu kupitia mwamvuli unaoitwa Chadema wanasema ripoti ya CAG imebaini trilioni 1.6 za kitanzania.

Siku zote zumbukuku anatabia ya kujadili na kusema mambo yasiyokuwepo,kama nchi itaendelea kuwa na kambi ya upinzani iliyosheheni waongo wa mchana kweupe ni dhahiri wananchi watawapa adhabu ya kuwapuuza.

Nimalize tu kwa kusema "uongo haudumu"

Muda mwingine tena.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tulitarajia ungeweka uchambuzi wa ccm kuonyesha wao wamepata nini, kumbe unalinganisha za vyama vingine kama figure zao zinafanana! Au ccm wao wamejikita kwenye wizi wa kura tu.
 
Ndugu zangu,

Zitto kama Zitto jeshi la mtu mmoja anasema ripoti ya CAG imebaini mkanganyiko wa takribani trilioni 4.8 za kitanzania.

Kwa upande mwingine kikundi cha watu kupitia mwamvuli unaoitwa Chadema wanasema ripoti ya CAG imebaini trilioni 1.6 za kitanzania.

Siku zote zumbukuku anatabia ya kujadili na kusema mambo yasiyokuwepo,kama nchi itaendelea kuwa na kambi ya upinzani iliyosheheni waongo wa mchana kweupe ni dhahiri wananchi watawapa adhabu ya kuwapuuza.

Nimalize tu kwa kusema "uongo haudumu"

Muda mwingine tena.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ziwe 1.6 au 4.6 zote ni pesa? Je kati ya hizo ni zipi wewe unaona ni kweli? Je serikali imekubali zipi kati ya hizo ua imepinga zote?
 
Ndugu zangu,

Zitto kama Zitto jeshi la mtu mmoja anasema ripoti ya CAG imebaini mkanganyiko wa takribani trilioni 4.8 za kitanzania.

Kwa upande mwingine kikundi cha watu kupitia mwamvuli unaoitwa Chadema wanasema ripoti ya CAG imebaini trilioni 1.6 za kitanzania.

Siku zote zumbukuku anatabia ya kujadili na kusema mambo yasiyokuwepo,kama nchi itaendelea kuwa na kambi ya upinzani iliyosheheni waongo wa mchana kweupe ni dhahiri wananchi watawapa adhabu ya kuwapuuza.

Nimalize tu kwa kusema "uongo haudumu"

Muda mwingine tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningetaka kukurahisishia ningekushauri uchukue 4.8 utoe 1.6 baki ni 3.2 ungekuwa umepata jibu. Lakini nikusaidie kitu kimoja; Usidhani ACT na CDM wamekaa pamoja na kutoka na hesabu tofauti. Kila Chama kimekaa kivyake na kutoka na madhaifu tofauti. Siyo lazima walichokiona ACT ni kasoro na CDM wakione ni kasoro. Cha muhimu walichotuambia ni kwamba "KUNA KASORO". Hilo tu linatosha maana tumepata pa kuanzia. Pia ACT wanaongelea 4.8 zisizo na maelezo wakati CDM wanaongelea 1.6 zisizoonekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ukiiba maeneo mtaani katika usiku mmoja, si kila mtu ataelezea alichoshuhudia ukiiba? Unataka mtaa ukae kikao kutoa tamko moja la wizi wako? Kosa la wizi liko pale pale, bila kujali nani ametaja kiwango kipi cha wizi. Nilitegemea uje na utetezi wa wizi kwa kila mmoja aliyekutuhumu, badala yake hoja yako ni kwamba wanaokutuhumu wametofautiana viwango1
Ana akili nyembamba kama tishu.Tuchukulie angekuwa ana kesi mahakamani halafu shahidi mmoja anasema aliiba meza .Na mwingine angesema aliiba kiti.Halafu yeye angejitetea kuwa hakuiba hivyo vitu ila aliiba fedha.Kwa akili yake ndiyo angedhani amejiokoa.
 
Back
Top Bottom