Uongezewe kiungo gani?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,390
Ungepewa muda uongezewe kiungo mwilini ungetaka uongezewe kiungo gani? kwanini?

Me ningetaka niongezewe kichwa kwa sababu napenda kuwaza.

Asanteni.
 
Umeishia la ngap?,,,,kichwa kinawaza? Mshukuru Mungu kwa alicho kujaalia mada zngne utafanya watu wakufuru
 
Sina haja ya kuongezewa kiungo chochote ila ningependa hali ya kuumwa isiwepo duniani coz inatesa mwili
 
am sorry my thread was moved 2 the chit chat forum. i had nothin 2 do wth it n i feel vry uncomfortable here. i think admins shud consider a members preference as 2 where he o she posts his o her thread. ok am goin back 2 other topics area, thnx guyz
 
sasa kama uzi wako ulikuwa pasipo stahili ulitaka iweje....
pole buanaaa...

mimi niongezewe siku za kuishi tuu...
 
Ungepewa muda uongezewe kiungo mwilini ungetaka uongezewe kiungo gani? kwanini?

Me ningetaka niongezewe kichwa kwa sababu napenda kuwaza.

Asanteni.
...sasa kwa mbaaaali naanza kukuelewa..itakuwa ZIKA ilifanya yake ukazaliwa na kibichwa kama mbegu ya ubuyu ndo mana akili zako mbili toa tisa!
 
ningependa niongezewe side mirror ili wanapopita warembo nisihangahike kugeuka , jana nimetumbukia mtaroni nilipogeuka kumwangalia dada aliyejaaliwa ingesaidia sana
 
Ha ha haaa kwa kweli ingekusaidia
 
Back
Top Bottom