Uonevu uliokithiri shaaban robert secondari

msamaha

New Member
Mar 30, 2012
1
0
Hapa shule ya sekondari Shaaban Robert Wanafunzi wanafaulu na taaluma siyo mbaya sana. Kuna kitu kibaya sana kinachoendelea kupitia Headmaster na uongozi wake. Waaalimu hasa hasa waafrika wana acha kazi na kuachishwa mfululizoo na kwa idadi kubwa ya kutisha. Kuingia 2012, waalimu karibu 10 wameacha kazi kwa sababu mbalimbali lakini zote ni kwa sababu ya uongozi mbaya wa RAMJI.

Inaonekana Sir chande ambaye ni mmiliki hajui mabaya yanayoendelea. Kuna mfanyakazi alichukua sick sheet na kwenda kutibiwa. Baada ya kurudi alipewa karipio kali, na barua ya onyo juu. Waalimu wakifiwa na watu wa karibu kama mke, mme, baba, mama, na wengine hukatwa siku za msiba katika likizo zao.

Kwa historia fupi tu, alipomaliza university of dar es salaam alifundisha kidogo hapa Shaaban Robert. Baadaye akaenda kufanya kazi kule PEPSI(soda). Akiwa pepsi alipata kashfa ya kuwatendea vibaya wafanyakazi. alichoambulia ni kufungiwa ndani ya ofisi na wafanyakazi. Ni kawaida ya wahindi kupendeleana. Huku akiwa ameharibu pepsi, akarudi Shaaban Robert na hatimaye akawa headmaster. Sera yake ni ubaguzi, na unyanyasaji. Ukiumwa unapewa barua ya onyo kali. Huyu anaonekana si mtanzania, maana watanzania hawako kama yeye.

Kwenye shughuli za ziada kama jumamosi au baada ya saa 8.00 hatupewi over time.
RAMJI hunyanyasa watu wanaojiendeleza kielimu hata kama watafanya hivyo baada ya kazi. Utaona anawaita ofisini na kuwahoji hoji kana kwamba wamefanya makosa. RAMJI hajui kwamba Tanganyika ilipata uhuru mwaka 1961. Ndiyo maana anafanya haya.

Kwenye staff meetings huwa anatuonya kwa msisitizo kwamba: “don’t fall sick” je siye ni mashine? Anatumia mtindo wa wakoloni wa DIVIDE and RULE-akiwatumia sana viongozi wa idara kupeleka umbea na majungu, na huwaongezea maslahi kwa kufanya hivyo.

Kuna mmoja wetu alifiwa, aliporudi aliammbiwa “make sure this does not happen again” je huu ndio uhindi? Utanzania? Au ufisadi papa?



Wengi walioajiriwa tangu - 2011 hawajapewa mkataba hadi sasa. Waliopewa mikataba mara inapoisha hupewa
Gratuity ya 7% NA INAKATWA KODI NA WAKATI KILA MSHAHARA mwisho wa mwezi huwa tuna katwa kodi kama kawaida. Sheria ya serikali ni 25% gratuity na hakuna kodi. Je hii ni tabia gani? Anapenda sana kualika viongozi wa serikali kwenye mahafali ili kuziba maovu yake. Mkamateni huyu. Analeta ukoloni uliosahaulika baada ya miaka 50.

Kuna wahindi wanaoitwa ma expert. Hawa wanalipwa karibu mara 10 ya waafrika. Je tz inahitaji experts wa kufundisha kemia form 1, hesabu form 3, nk. Hawa hupewa tiketi ya ndege kwenda na kurudi likizo. Sisi hatulipwi likizo kabisaaaa.

Yaani
RAMJI ameigeuza Shaaban Robert kama kisiwa ndani ya Tanganyika, ambacho hakifuati sheria za ajira za hapa Tanzania, wala kanuni za kawaida za utu.

Serikali ya JK tuna imani nayo. Msimuulize
RAMJI, wana tabia ya kuhonga. Ulizeni waalimu wa kiafrika, mtapata habari zote.

Mdau wa jamii forum, saidia kupeleka mahali ambapo jambo hili litapewa ufumbuzi.
ASANTENI wadau.

 
Hakuna mateso hapa duniani kama kuajiriwa na mhindi,hawana ubinadamu hata kidogo ktk ajira!
 
he poleni sana.....

tunaomba wizara ya ajira,imshughulikie huyu mtu.....
 
Wahindi ni wanyonyaji ile mbaya. Hawa ni mabwana dhidi ya watwana (Watanzania). Mhindi atapewa heshima, malazi .... hata kama anelimu na ujuzi kidogo. Kama unatajia kufanya kazi kwa mhindi jiandae kutengwa na kunyanyaswa. Mimi yalinikumba.........
 
Back
Top Bottom