Cleverman324
JF-Expert Member
- Nov 17, 2018
- 413
- 668
Sasa hapa ushahidi anaupataje mkuu? Ulitaka ajirekodi mzee wakati anapigwa?Kosa lako kubwa wamekuambia ni nini?una ushahidi wa hayo yote?
Omba yasikukute dogoUmeandika kwa kukurupuka ,tulia shusha pumzi anza kutupa kisa vizur.Hawa jamaa wanavipigo lakini vingi vinasababu zake.usje ukawa wewe ndo umezichanga karata hovyo.
Pole ila kupigwa kiboya namna iyo sio poa,jipige kifuani mara tatu Kisha SEMA Mimi Ni fala
Huyo mmoja ananuka bange pia wanasema natembea kwa kujiamini na nimewadharau.Kosa lako kubwa wamekuambia ni nini?una ushahidi wa hayo yote?
sikuwa nimewakosea hata kidogoOmba yasikukute dogo
Mkuu temea mate chini na omba kwa Mungu wako yasikukuteUmeandika kwa kukurupuka ,tulia shusha pumzi anza kutupa kisa vizur.Hawa jamaa wanavipigo lakini vingi vinasababu zake.usje ukawa wewe ndo umezichanga karata hovyo.
Pole ila kupigwa kiboya namna iyo sio poa,jipige kifuani mara tatu Kisha SEMA Mimi Ni fala
Pole sana mkuu,inatakiwa ushahidi ili tuwaweke hadharani!Huyo mmoja ananuka bange pia wanasema natembea kwa kujiamini na nimewadharau.
Mtu mzma unaejitambua uanze kupigwa bila sababu ?.na wasiwasi na muonekano wake ,kwa kujieleza tu utaeleweka labda Kama kajichanganya kakutana na askari wasiojielewaOmba yasikukute dogo
Inawezekana kuna raia wamerekodi mkuu sio lazima awe yeye na ushahidi!Sasa hapa ushahidi anaupataje mkuu? Ulitaka ajirekodi mzee wakati anapigwa?
Yananikuta mkuu,SEMA sisi ni binaadamu tumeumbwa kwa namna ya kuweza kuelewana na kuelekezana .ikifikia hatua unaanza kupigwa tu bila kusikilizwa ujue Kuna shida pahala fulani.Mkuu temea mate chini na omba kwa Mungu wako yasikukute
Nimekuja kuandika hii kama kero. Ila fala Mimi nilitii sheria na manyanyaso kwani wameshika silaha za moto na virungu..ukizingatia hapo benk nilienda kuweka pesa kwa ajili ya matibabu ya mama huko shamba..wenzetu wenye nguvu za kiuchumi na nyazifa sio mafala..ningekuwa mbishi nifapigwa risasi nani amemuuguza mama..inauma sana hiiUmeandika kwa kukurupuka ,tulia shusha pumzi anza kutupa kisa vizur.Hawa jamaa wanavipigo lakini vingi vinasababu zake.usje ukawa wewe ndo umezichanga karata hovyo.
Pole ila kupigwa kiboya namna iyo sio poa,jipige kifuani mara tatu Kisha SEMA Mimi Ni fala
Hata mimi kusema ukweli sipendi maonevu pia sina pesa wala cheo cha kinilindaHapo ndo huwa natamani kuwa mchawi.
Usifike huko boss ,huo uchawi utakufanya hata mama yako unaemuuguzi utamuua.Cha msingi uli give up ,upo hai acha maisha yaendelee .You never know life has been a long story but isiwe too much for you to blame all timeTunavyoenda hivi nitanunua uchawi tu